Natafuta mchumba, mume mtarajiwa

Natafuta mchumba, mume mtarajiwa

Pamoja na mashart yote hayo hauna Bikra, Bint mungu anakuona....!! Endelea kutafuta, kwa style hiyo jiandae kugegedwa kwa miaka mitano iajayo...!! Rudi tena na hapa 2020 kwa sharti moja tu, tukiwa na uzima.
umenifurahisha,walionigegeda hawanasifa izo ivyo nisingependa kuingia kwenye ndoa nao wakati najua roho yangu haijawa radhi,, sitaki kufanya makosa.nimeusemea moyo wangu ,,,,km ni kuolewa na yeyote ningekuwa na watoto watatu,,niliingia nao kwenye mahusiano nikijua labda roho itabadirika but since 20,,its still the same,,so nataka kuitendea haki nafsi yangu.
 
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 25, natafuta mchumba anayenizidi miaka mitano(5) na kuendelea. Sharti awe mkristo ( Mlutherani sitaki kuwachanganya watoto na pia nahitaji familia yangu iwe ya dini), mpole ( Kuna wanaume wanaoogopapa kuwatongoza wanawake type kama hizo ndo nataka).

Usijali mapenzi tutafundishana kwenye ndoa (yaani ujuzi), uwe mrefu mwembamba, uwe na kazi nzuri (coz na mimi nina kazi nzuri) na ni mwembamba pia. Kabila utoke ndani haya matatu- msukuma, mhaya, na mkurya (mimi mhaya).

Elimu uwe na degree, usiwe na mtoto au ulishawahi kumpa mimba mdada yeyote akatoa (sitaki laana mimi, nataka kitu fresh kama mimi ingawa kufanya nilishafanya yaani ku do).

Nitakuheshimu na kukupenda kwa dhati kama utakuwa serious. Kama mzungu pia unakaribishwa ila sio mhindi au mchina.

Kama utakuwa interested ni-pm.
Kwa wadada...
1. Early 20's huwa wanaanzaga kuwaza kuolewa, hasa kama hawapo shule.
2. Masherti yanayopangwa kwamba mwanaume awe hivyo huwa ni mengi sana na mengine ni imposible kutekerezeka
3. Kadri umri unaavyoongezeka, ndivyo masherti hupungua.. Mind you kila msicha anahofia sana kufika 30 kabla ya kuolewa au hata kuwa na uhakika wa ndoa
4. Msichana akifika 30 hana uhakika wa ndoa, anaanza kutamani mtoto wa kumzaa mwenyewe. Hivyo masherti yatahamia kwenye UHENDISAMU wa mwanaume wa kuzaa naye...
5. Masherti ya uhesndisamu nayo hupungua kadili anavyoisogelea 35.
6. Akfika 35 na hana uhakika na kupata hensisamu wa kuzaa naye, huwa anategeshewa yeyote, na wengi hishia kuzaa na waume za watu

Kila la heri Dada, ila kumbuka unaweza usimpate mwenye vigezo unavyovitaka kwa 100%. Ukiganda kwenye vigezo vyako tu, utaishia kuzisoma hizo namba 1 hadi 6 kwa vitendo
 
Kama MUME angekuwa rahisi kupatikana nadhani ungekuwa ushapata mtaani kwenu au kazini kwako,,endelea kuweka vigezo kama mganga huku unqchqngia harusi za wenzio ......nakusubiri ukifika 32,nadhani utabakisha kigezo chake "mwanaume wa kunioa"
 
ss hv wamepanga foreni wenye nusu vigezo ila sitaki kuitesa roho yangu ,,najua ninachopenda mm,,,hapo ndo naweza ridhika na familia.
 
Kama MUME angekuwa rahisi kupatikana nadhani ungekuwa ushapata mtaani kwenu au kazini kwako,,endelea kuweka vigezo kama mganga huku unqchqngia harusi za wenzio ......nakusubiri ukifika 32,nadhani utabakisha kigezo chake "mwanaume wa kunioa"
umenifurahisha,walionigegeda hawanasifa izo ivyo nisingependa kuingia kwenye ndoa nao wakati najua roho yangu haijawa radhi,, sitaki kufanya makosa.nimeusemea moyo wangu ,,,,km ni kuolewa na yeyote ningekuwa na watoto watatu,,niliingia nao kwenye mahusiano nikijua labda roho itabadirika but since 20,,its still the same,,so nataka kuitendea haki nafsi yangu.
 
Kazi kweli kweli...kanda ya ziwa fursa hiyo jamani,nshomire huyo anataka wa kufanaye na kuzikana.
 
ss hv wamepanga foreni wenye nusu vigezo ila sitaki kuitesa roho yangu ,,najua ninachopenda mm,,,hapo ndo naweza ridhika na familia.
Ungepata hata wawili wa kukusalimia mtaani kwako usingekuja kutujazia threads humu...,inaonesha umekosa soko mtaani kwako!! Usichojua tu ni kwamba waliopo humu si malaika,ni haohao wanaokukataa mtaani kwako, jiandae kisaikolojia ukikutana nao...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom