Natafuta mchumba, mume mtarajiwa

Natafuta mchumba, mume mtarajiwa

Aisee mbona sifa zangu zote hizo? ...kama Upo serious 109% njoo pm nitahudhuria interview kwa gharama zangu
 
Too much qualifications as if she is Virgin na hapo ukishamuoa Atakupelelesha mpaka ujute why Ulioa
 
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 25, natafuta mchumba anayenizidi miaka mitano(5) na kuendelea. Sharti awe mkristo ( Mlutherani sitaki kuwachanganya watoto na pia nahitaji familia yangu iwe ya dini), mpole ( Kuna wanaume wanaoogopapa kuwatongoza wanawake type kama hizo ndo nataka).

Usijali mapenzi tutafundishana kwenye ndoa (yaani ujuzi), uwe mrefu mwembamba, uwe na kazi nzuri (coz na mimi nina kazi nzuri) na ni mwembamba pia. Kabila utoke ndani haya matatu- msukuma, mhaya, na mkurya (mimi mhaya).

Elimu uwe na degree, usiwe na mtoto au ulishawahi kumpa mimba mdada yeyote akatoa (sitaki laana mimi, nataka kitu fresh kama mimi ingawa kufanya nilishafanya yaani ku do).

Nitakuheshimu na kukupenda kwa dhati kama utakuwa serious. Kama mzungu pia unakaribishwa ila sio mhindi au mchina.

Kama utakuwa interested ni-pm.
Mi nko interested
 
Post nyingine ukianza kusoma kichwa post unapata mzuka kweli kweli ,,lakini kadiri unavyo endelea kusoma post yenyewe mzuka unazidi kupungua hadi ukimaliza kusoma post hamu imeisha kabisa, unaishia kuwaachia wengine nao wajisomee wenyewe…
 
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 25, natafuta mchumba anayenizidi miaka mitano(5) na kuendelea. Sharti awe mkristo ( Mlutherani sitaki kuwachanganya watoto na pia nahitaji familia yangu iwe ya dini), mpole ( Kuna wanaume wanaoogopapa kuwatongoza wanawake type kama hizo ndo nataka).

Usijali mapenzi tutafundishana kwenye ndoa (yaani ujuzi), uwe mrefu mwembamba, uwe na kazi nzuri (coz na mimi nina kazi nzuri) na ni mwembamba pia. Kabila utoke ndani haya matatu- msukuma, mhaya, na mkurya (mimi mhaya).

Elimu uwe na degree, usiwe na mtoto au ulishawahi kumpa mimba mdada yeyote akatoa (sitaki laana mimi, nataka kitu fresh kama mimi ingawa kufanya nilishafanya yaani ku do).

Nitakuheshimu na kukupenda kwa dhati kama utakuwa serious. Kama mzungu pia unakaribishwa ila sio mhindi au mchina.

Kama utakuwa interested ni-pm.
Punguzeni Vigezo Muolewe Vigezo Utadhani Ulikuwepo Siku Ya Uumbaji Mungu Sikuzote Hakupi Unachotaka Anakupa Unachohitaji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom