Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,877
- 31,655
niko mimi peke yangu hana mwingineDuh kumbe na wewe mmoja wao kwel shunie kiboko
niko mimi peke yangu hana mwingineDuh kumbe na wewe mmoja wao kwel shunie kiboko
hivi unajua unanihalibiasijamruhusu
weweniko mimi peke yangu hana mwingine
Mpaka unafikia hatua ya kutafuta mchumba humu ujue ww umeshndkana ndo mana unawatafuta wasiokujua ila mm ni mhaya mwenzio mamaa(Byangwamu)



Aaaah Mzungu wa kabila gani maana wengine yamebaki majina tuu na rangi hazisadifu yaliyomoMimi ni binti mwenye umri wa miaka 25, natafuta mchumba anayenizidi miaka mitano(5) na kuendelea. Sharti awe mkristo ( Mlutherani sitaki kuwachanganya watoto na pia nahitaji familia yangu iwe ya dini), mpole ( Kuna wanaume wanaoogopapa kuwatongoza wanawake type kama hizo ndo nataka).
Usijali mapenzi tutafundishana kwenye ndoa (yaani ujuzi), uwe mrefu mwembamba, uwe na kazi nzuri (coz na mimi nina kazi nzuri) na ni mwembamba pia. Kabila utoke ndani haya matatu- msukuma, mhaya, na mkurya (mimi mhaya).
Elimu uwe na degree, usiwe na mtoto au ulishawahi kumpa mimba mdada yeyote akatoa (sitaki laana mimi, nataka kitu fresh kama mimi ingawa kufanya nilishafanya yaani ku do).
Nitakuheshimu na kukupenda kwa dhati kama utakuwa serious. Kama mzungu pia unakaribishwa ila sio mhindi au mchina.
Kama utakuwa interested ni-pm.
Una uhakika lakinniko mimi peke yangu hana mwingine
Ha ha ha ha bas mwenzio kajiongeza tayar....achana nae huyo anataka fursa namkatalia haelewi
mm sina
ha ha ha jamaa hajui kama nipo huku
Ha ha ha ha bora kama hajui maana sa hv kitanukaachana nae huyo anataka fursa namkatalia haelewi
mm sina
ha ha ha jamaa hajui kama nipo huku
nakuharibiaaaaahivi unajua unanihalibia
ndio namuamini mke wangu hawezi kunisalitiUna uhakika lakin
All the bestndio namuamini mke wangu hawezi kunisaliti
uyo ni kinganganizi achaUna uhakika lakin
uyo atakaponikuta sehem n hivyo kila unachomwambia haelewiHa ha ha ha bas mwenzio kajiongeza tayar....
Ha ha ha ha umepatikana Leo malizana nae mwenyeweuyo ni kinganganizi acha
ha ha haHa ha ha ha bora kama hajui maana sa hv kitanuka
poa poa mkuu ila msimendee mke wangu nina malengo naye makubwa ,niko radhi kuuza nyumba moja ya nyumba zetu nipate pesa ya kutanua na shunie wanguAll the best
Ha ha ha ha kafa kaoza moja haisom mbili haikaiuyo atakaponikuta sehem n hivyo kila unachomwambia haelewi
sijui nikwambie lugha gan ila sasa hivi nitakua sikujib kitundio namuamini mke wangu hawezi kunisaliti
nakuharibiaaaaa![]()
![]()
![]()
![]()
Shunie mke wangu mbona sikuelewi