Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,741
- 1,723
Kila la kheri. Tatizo viburi vinawaponza, mimi msukuma nilipanga kumuoa muhaya akimaliza chuo kamaliza na mapenzi yakaisha!
wazee wa fursaNa mimi nitaaminije kama hujawahi kutoa mimba? Aliyekubikiri yupo wapi?

As see kwel inshomireee
mke wangu mambo vipi?wazee wa fursa![]()
mke wako nani?mke wangu mambo vipi?
njoo kwanguhivi uko mtaani kweli hampati watu? maan humu ata mrejesho hamleti kama mmeshapata leteni mrejesho ili na sisi tuweke mabandiko yetu
wewe hapo shunie sina mwengine zaidi yakomke wako nani?
toka lini mm mkeowewe hapo shunie sina mwengine zaidi yako
Nitaleta bandikonjoo kwangu
tutaleta mrejesho na watoto wawili washuhudie..
Wakat haujafkaMimi ni binti mwenye umri wa miaka 25, natafuta mchumba anayenizidi miaka mitano(5) na kuendelea. Sharti awe mkristo ( Mlutherani sitaki kuwachanganya watoto na pia nahitaji familia yangu iwe ya dini), mpole ( Kuna wanaume wanaoogopapa kuwatongoza wanawake type kama hizo ndo nataka).
Usijali mapenzi tutafundishana kwenye ndoa (yaani ujuzi), uwe mrefu mwembamba, uwe na kazi nzuri (coz na mimi nina kazi nzuri) na ni mwembamba pia. Kabila utoke ndani haya matatu- msukuma, mhaya, na mkurya (mimi mhaya).
Elimu uwe na degree, usiwe na mtoto au ulishawahi kumpa mimba mdada yeyote akatoa (sitaki laana mimi, nataka kitu fresh kama mimi ingawa kufanya nilishafanya yaani ku do).
Nitakuheshimu na kukupenda kwa dhati kama utakuwa serious. Kama mzungu pia unakaribishwa ila sio mhindi au mchina.
Kama utakuwa interested ni-pm.
Stunter the bosssMimi ni binti mwenye umri wa miaka 25, natafuta mchumba anayenizidi miaka mitano(5) na kuendelea. Sharti awe mkristo ( Mlutherani sitaki kuwachanganya watoto na pia nahitaji familia yangu iwe ya dini), mpole ( Kuna wanaume wanaoogopapa kuwatongoza wanawake type kama hizo ndo nataka).
Usijali mapenzi tutafundishana kwenye ndoa (yaani ujuzi), uwe mrefu mwembamba, uwe na kazi nzuri (coz na mimi nina kazi nzuri) na ni mwembamba pia. Kabila utoke ndani haya matatu- msukuma, mhaya, na mkurya (mimi mhaya).
Elimu uwe na degree, usiwe na mtoto au ulishawahi kumpa mimba mdada yeyote akatoa (sitaki laana mimi, nataka kitu fresh kama mimi ingawa kufanya nilishafanya yaani ku do).
Nitakuheshimu na kukupenda kwa dhati kama utakuwa serious. Kama mzungu pia unakaribishwa ila sio mhindi au mchina.
Kama utakuwa interested ni-pm.

toka enzi na enzi na majina yetu yanatambuliwa mpka katika vitabu vya enzi kutoka kwa sir Godtoka lini mm mkeo
Basi naja inbox shunie.Nitaleta bandiko
mpm wewe mke huyo hapoTatizo la wahaya umalaya,majivuno,kiburi na kutopenda ndugu wa mwanaume any way nna miaka 30 elimu yangu ni f6 nna kampuni yangu na nyumba mbili za maana tu, nnayo magali mawili ya kutembelea na account yangu iko vizuri kama uko tayali ni pm ntakuoa.
ushajipatia mke huyo mkuuTatizo la wahaya umalaya,majivuno,kiburi na kutopenda ndugu wa mwanaume any way nna miaka 30 elimu yangu ni f6 nna kampuni yangu na nyumba mbili za maana tu, nnayo magali mawili ya kutembelea na account yangu iko vizuri kama uko tayali ni pm ntakuoa.
hahahaa!Tatizo la wahaya umalaya,majivuno,kiburi na kutopenda ndugu wa mwanaume any way nna miaka 30 elimu yangu ni f6 nna kampuni yangu na nyumba mbili za maana tu, nnayo magali mawili ya kutembelea na account yangu iko vizuri kama uko tayali ni pm ntakuoa.
omba iwezo wa kuumba umuumbe wako... kwa hivi vigezo hupati mtuMimi ni binti mwenye umri wa miaka 25, natafuta mchumba anayenizidi miaka mitano(5) na kuendelea. Sharti awe mkristo ( Mlutherani sitaki kuwachanganya watoto na pia nahitaji familia yangu iwe ya dini), mpole ( Kuna wanaume wanaoogopapa kuwatongoza wanawake type kama hizo ndo nataka).
Usijali mapenzi tutafundishana kwenye ndoa (yaani ujuzi), uwe mrefu mwembamba, uwe na kazi nzuri (coz na mimi nina kazi nzuri) na ni mwembamba pia. Kabila utoke ndani haya matatu- msukuma, mhaya, na mkurya (mimi mhaya).
Elimu uwe na degree, usiwe na mtoto au ulishawahi kumpa mimba mdada yeyote akatoa (sitaki laana mimi, nataka kitu fresh kama mimi ingawa kufanya nilishafanya yaani ku do).
Nitakuheshimu na kukupenda kwa dhati kama utakuwa serious. Kama mzungu pia unakaribishwa ila sio mhindi au mchina.
Kama utakuwa interested ni-pm.
njoo mke wangu inbox nikupe my no tuongeeushajipatia mke huyo mkuu