Natafuta mchumba, mume mtarajiwa

Natafuta mchumba, mume mtarajiwa

poa poa mkuu ila msimendee mke wangu nina malengo naye makubwa ,niko radhi kuuza nyumba moja ya nyumba zetu nipate pesa ya kutanua na shunie wangu
Kwan kuna mtu alikuambia nnamendea
 
Mimi nimesema nilisha do. tayari kwa iyo haina shida ya shuka jeupe, pia picha siweki maana nahitaji mtu wa kunitrust kweli kwanza , na tatu mm sio mzuri sana , ni wa wastani , mwembamba afu maji y a kunde ila sina sura mbaya pia kwenye hilo group simo,, ni wa kati
Ww una sura mbaya, unajipa moyo tu
 
natafuta uhusiano wa vigezo 2 ulivyoweka Mume mpole at the same time awe Mkurya-----------------------network search! jasiri haachi aisili are serious kweli? au upo ndotoni
 
ha ha ha kaka acha nikuage tutakutana kwenye jukwaa letu
Shunieee nilipanga tuwe pamoja eeh nashangaa kwa nini umebadilika ghafla
Marafiki zangu wanakujua wanasema aah , hata yeezus naye anakuja anasema .......
 
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 25, natafuta mchumba anayenizidi miaka mitano(5) na kuendelea. Sharti awe mkristo ( Mlutherani sitaki kuwachanganya watoto na pia nahitaji familia yangu iwe ya dini), mpole ( Kuna wanaume wanaoogopapa kuwatongoza wanawake type kama hizo ndo nataka).

Usijali mapenzi tutafundishana kwenye ndoa (yaani ujuzi), uwe mrefu mwembamba, uwe na kazi nzuri (coz na mimi nina kazi nzuri) na ni mwembamba pia. Kabila utoke ndani haya matatu- msukuma, mhaya, na mkurya (mimi mhaya).

Elimu uwe na degree, usiwe na mtoto au ulishawahi kumpa mimba mdada yeyote akatoa (sitaki laana mimi, nataka kitu fresh kama mimi ingawa kufanya nilishafanya yaani ku do).

Nitakuheshimu na kukupenda kwa dhati kama utakuwa serious. Kama mzungu pia unakaribishwa ila sio mhindi au mchina.

Kama utakuwa interested ni-pm.
07549111..
 
Mimi nimesema nilisha do. tayari kwa iyo haina shida ya shuka jeupe, pia picha siweki maana nahitaji mtu wa kunitrust kweli kwanza , na tatu mm sio mzuri sana , ni wa wastani , mwembamba afu maji y a kunde ila sina sura mbaya pia kwenye hilo group simo,, ni wa kati
Aliye kufumua malinda ndio mwambie akuoe sio kuleta mashart utadhan kalmanzila
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom