Natafuta mchumba, mume mtarajiwa

Natafuta mchumba, mume mtarajiwa

kuna mdau ameweka thread kuwa amevuta bangi for the first time hajaona mabadiliko yeyote, labda mlikuwa pamoja na wewe ndio unaanza kuona mabadiliko maana hivyo vigezo huvipati
 
Hivi wewe unaitwa miss Tarented ama miss Talented.?! Hivi Tarented ina maana gani kwa Kihaya?!
Tarented - i didn't want my name to have a meaning,,,so labda nijibu i know well the spelling but my name word is out of that ,,by the way thank you. hata ningejiita table-
 
s
[QUOTE="Kamiss Tarented,nataka kitu fresh kama mimi ingawa kufanya nilishafanya yaani ku do).

unanyodo wewe[/QUOTE]

sio kweli ! why are u saying that! just follow me in my any conversation and u will realize what kind a person AM i !
 
s

unanyodo wewe

sio kweli ! why are u saying that! just follow me in my any conversation and u will realize what kind a person AM i ![/QUOTE]
okay.njoo pm kama hujapata.ila mimi ni mdukuz nikijua unacheat nakata singo na sime
 
iyo inaonesha kwa kiasi gani unadhani watu wote mko sawa hapana kaka ,,,kuna wengine vigezo wanapitiliza ivyo kama vyako havitoshi sio wote. by the way ukitembea huwa unafumba macho,,,nahic huwa tunatoka kuvuta bangi pamoja ndo maana huwaoni!
 
sio kweli ! why are u saying that! just follow me in my any conversation and u will realize what kind a person AM i !
okay.njoo pm kama hujapata.ila mimi ni mdukuz nikijua unacheat nakata singo na sime[/QUOTE]

Noo! asante nshakuogopa inaonekana unajudge b4 investigating.
 
kuna mdau ameweka thread kuwa amevuta bangi for the first time hajaona mabadiliko yeyote, labda mlikuwa pamoja na wewe ndio unaanza kuona mabadiliko maana hivyo vigezo huvipati

iyo inaonesha kwa kiasi gani unadhani watu wote mko sawa hapana kaka ,,,kuna wengine vigezo wanapitiliza ivyo kama vyako havitoshi sio wote. by the way ukitembea huwa unafumba macho,,,nahic huwa tunatoka kuvuta bangi pamoja ndo maana huwaoni!
 
Kwani imeshindikana kupata mchumba hadi ujitangaze.Ukoo wenu hawapo watu kama mashangazi,wajomba mashemeji n.k.?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom