SIR MGAX
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 1,345
- 2,309
Anza na nyota mkuu utanishukuru baadae.Sijaona akizungumzia meditation š§āāļø
Anza na nyota mkuu utanishukuru baadae.Sijaona akizungumzia meditation š§āāļø
Mtu wa meditation anabwabwaja utafikiri Haji ManaraSasa mbona huna tabia za watu wa meditation?
Naona unatukuna matusi makubwa ya nguoni kuna mdau alisema una mental problems huenda kweli
Haifuti as such Hapana inafanya kukusaidia kudetach na uhalisia uliopo kwa muda tu, then inapoisha makali unakuwa umepata experience mpya.. So ukifanya hivyo repeatedly anxiety nayo unapotea kimtindo. Sema sio effective sana kama behavior therapy and EMDRPsychedelic ni dawa ambazo ukipata inaweza ku saidia kutoa anxienty inasaidia kutoa kumbukumbu ulizosahau na mambo mengi ya kisaikolojia hata kuweka kumbukumbu mpya na hypnosis ni therapy ya ku relax ubongo inasaidia pia ku punguza anxiety addiction pia inaweza tumika ku influence behaviour na kumbukumbu kufuta au kuweka nyingine
Mkuu.ni njia gani nzuri ya kufanya meditation kwa mtu mwenye tatizo social anxiety?Haifuti as such Hapana inafanya kukusaidia kudetach na uhalisia uliopo kwa muda tu, then inapoisha makali unakuwa umepata experience mpya.. So ukifanya hivyo repeatedly anxiety nayo unapotea kimtindo. Sema sio effective sana kama behavior therapy and EMDR
Kwanza kabisa meditation haiwezi kulimaliza hilo tatizo.Mkuu.ni njia gani nzuri ya kufanya meditation kwa mtu wenye tatizo social anxiety?
Okay..Kwanza kabisa meditation haiwezi kulimaliza hilo tatizo.
Inabidi tujue chanzo cha social anxiety. Na hapo inabidi ufanye CBT mara nyingi ni wewe kuanza kutoka nje na kuanza kuongea na watu kwa hatua ndogo ndogo na baadae kuanza kuongea publicly kabisa.
It's a process of facing your fears
Lengo la meditatiom ni utulivu wa akili right?Na kama jibu ni ndio hatutegemei mtu wa meditation kuwa machepeleNani alikudanganya meditation humfanya mtu asi bwabwaje?
ššMtu wa meditation anabwabwaja utafikiri Haji Manara
Mkuu unajidefend sana ujue!No you're so quick to make conclusions, mimi ni mtu poa sana.
I don't think una uelewa kuwa meditation inaletaje utulivu wa akili? Sio utulivu wa kukaa silent ewe mmatumbiLengo la meditatiom ni utulivu wa akili right?Na kama jibu ni ndio hatutegemei mtu wa meditation kuwa machepele
Unaposema meditation ili angalau mtu awe amefanya nini kinazingatiwa?Za jioni wadau...
Nimekuwa ni kipractice meditation for a while now.
Imenisaidia pakubwa ila kuna Sehem nataka kufikia spiritually ila nakosa focus and concentration nikifanya peke yangu.
Nataka kujua ni wapi kuna temple, au Kuna ma Buddha... Achana na yogist
Hasa kwa Dar
Nataka wale wanaofanya extensive and intensive meditation ile ya complete focus...
Nimekuwa muumini wa meditation ila ukweli kuna power of being a group kuna kwa na sense of accomplishment, ingawa sio lengo kuu la meditation but ni gateway mojawapo ya kupata glimpse of Enlightenment.
Kama kuna mtu ana practice na wanagroup lililo serious pia ingekua powa zaidi...
Na fikiria kuja kwenda India pia mwisho wa mwaka I've been saving for that.
So wadau kama kutakuwa na mtu anajua au ana fahamu mahala naweza kupata hiyo community atakuwa amenisaidia.
Ukiifanya meditation kuwa kitu unachokishikilia au njia ya kutimiza tamaa ya kufika nirvana, tayari umeunda kifungo kingine.Sure unaweza ukawa addicted to the act of meditation na bado usiifikie nirvana
A hundred percent ewe mmatumbi.Ukiifanya meditation kuwa kitu unachokishikilia au njia ya kutimiza tamaa ya kufika nirvana, tayari umeunda kifungo kingine.
Nirvana si zawadi ya kufanya meditation kwa muda mrefu. Inatokea pale ambapo hata yule anayesema, Nataka nirvana, ametoweka, Meditation ya kweli si kufanya, ni kuwa, Na pale unapokuwa kikamilifu, bila kutafuta kufika popote, ndipo kile unachokitafuta kinaweza kujidhihirisha.
Maneno ya mwalimu oshoo.
That is a professional about things do you want to practise -0755222555Who is that?