Yaani Robin Sharma na wale Sages of Sirvana hawaoni ndani kwa dogo janjaUna madini ambayo hata kina dalai lama hawana
Yaani Robin Sharma na wale Sages of Sirvana hawaoni ndani kwa dogo janjaUna madini ambayo hata kina dalai lama hawana
Ndugu yangu anatakiwa afanye meditation mno tena kwa masaa mengi tu .Yaani Robin Sharma na wale Sages of Sirvana hawaoni ndani kwa dogo janja
You nailed it, CONSISTENCY!Ndugu yangu anatakiwa afanye meditation mno tena kwa masaa mengi tu .
Binafsi nampango wa kubadilisha mtindo wa maisha nirudi tena ulingoni
Kabisa andoe ile Ego ya kuhisi alichonacho yeye ndio sahihi, anajua kuliko wengine, anajua kweli ila kila mtu humu anakitu ambacho mtu mwingine hana hivyo ni vizuri kujifunza kwa wengine ili ujue zaidi, hakuna aibu kwenye kujifunza au kusema hilo sijuiNdugu yangu anatakiwa afanye meditation mno tena kwa masaa mengi tu .
Ego is the enemyKabisa andoe ile Ego ya kuhisi alichonacho yeye ndio sahihi, anajua kuliko wengine, anajua kweli ila kila mtu humu anakitu ambacho mtu mwingine hana hivyo ni vizuri kujifunza kwa wengine ili ujue zaidi, hakuna aibu kwenye kujifunza au kusema hilo sijui
Kabisa inakuzui kujifunza mambo mengi mnoEgo is the enemy
Sure unaweza ukawa addicted to the act of meditation na bado usiifikie nirvanaYou nailed it, CONSISTENCY!
Meditation can be addictive though, if my morning or night passes without meditating I feel emptiness.
Back to your roots now.
Sidhani kama hiyo tabia bado ninayo, ila kama ni najua kitu kweli sivungi na hakuna ujuaji katika hilo. Wengi hawapendi kukosolewa na hilo nalo ndo jangaKabisa andoe ile Ego ya kuhisi alichonacho yeye ndio sahihi, anajua kuliko wengine, anajua kweli ila kila mtu humu anakitu ambacho mtu mwingine hana hivyo ni vizuri kujifunza kwa wengine ili ujue zaidi, hakuna aibu kwenye kujifunza au kusema hilo sijui