Natafuta Kundi la Meditation ya Kina

Natafuta Kundi la Meditation ya Kina

Am curious, tell me more about this?
Psychedelic ni dawa ambazo ukipata inaweza ku saidia kutoa anxienty inasaidia kutoa kumbukumbu ulizosahau na mambo mengi ya kisaikolojia hata kuweka kumbukumbu mpya na hypnosis ni therapy ya ku relax ubongo inasaidia pia ku punguza anxiety addiction pia inaweza tumika ku influence behaviour na kumbukumbu kufuta au kuweka nyingine
 
Za jioni wadau...

Nimekuwa ni kipractice meditation for a while now.

Imenisaidia pakubwa ila kuna Sehem nataka kufikia spiritually ila nakosa focus and concentration nikifanya peke yangu.

Nataka kujua ni wapi kuna temple, au Kuna ma Buddha... Achana na yogist
Hasa kwa Dar

Nataka wale wanaofanya extensive and intensive meditation ile ya complete focus...

Nimekuwa muumini wa meditation ila ukweli kuna power of being a group kuna kwa na sense of accomplishment, ingawa sio lengo kuu la meditation but ni gateway mojawapo ya kupata glimpse of Enlightenment.

Kama kuna mtu ana practice na wanagroup lililo serious pia ingekua powa zaidi...

Na fikiria kuja kwenda India pia mwisho wa mwaka I've been saving for that.

So wadau kama kutakuwa na mtu anajua au ana fahamu mahala naweza kupata hiyo community atakuwa amenisaidia.
Post kule uwa naona Kuna temple's zao
 
Psychedelic ni dawa ambazo ukipata inaweza ku saidia kutoa anxienty inasaidia kutoa kumbukumbu ulizosahau na mambo mengi ya kisaikolojia hata kuweka kumbukumbu mpya na hypnosis ni therapy ya ku relax ubongo inasaidia pia ku punguza anxiety addiction pia inaweza tumika ku influence behaviour na kumbukumbu kufuta au kuweka nyingine
Nakusoma mkuu๐Ÿ™
 
Back
Top Bottom