Natafuta Kundi la Meditation ya Kina

Natafuta Kundi la Meditation ya Kina

"Kwa stage nilofikia I don't need any guidance"


Hii kauli hata kwa watu wa Tibet sijawahi isikia
No it's not ego

Hiyo ni statement tu. Hujui hata yule anaye crave guidance ni moja wapo ya limitation anayo jiwekea mwenyewe?
 
Duuh moyo wa mtu kichaka
Ila kuna kitu kwako sio sawa mara uage unatoka JF kwa muda mara urudi kesho yake na matusi yale mazito, kweli psychologist wana kazi.
Why are so quick to judge?
 
Mi nini hamu ya kupata experience ya Psychedilic au hypnosis, hivi Lsd drugs ni legal hapa bongo
Kibongo bongo ni ngumu... Huku kuna shada tuu. Psychedelics labda uende Jamaica huko
 
Am curious, tell me more about this?
Ni one way wanatumia psychedelics (miti shamba fulani) ku tinker normal functioning za ubongo na hufanya mtu kukosa locus of control inatumika hasa kwa healing of trauma. Na pia inasaidia mtu kupata glimpses za Enlightenment
 
Back
Top Bottom