Kwa ulipofikia hatua inayofuata nafikiri yeye atakufundisha namna ya kutoka kwenye mwili.
Hiyo ndio hatua zaidi kwenye hiyo. Huko utakutana na wafu utaongea nao. (Hapo ndio kama una ndugu zako kuna kitu kama pesa alificha mahala, atakuambia kilipo). Utaongea nao kawaida. Mwanzo unaweza ukaogopa lakini baadae utawazoea.
Hatua inayofuata utaonana na malaika wako wale wawili. Hii hatua ndio mfano ukiumwa unayoweza kujitibu mwenyewe kwa miti shamba utakayoelekezwa. Pia unaweza kuambiwa njia unayopita badirisha ghafla kuna ubaya mbele. Hii hatua ndipo wanatokea waganga wa mitu shamba wale wa ukweli wanaokaa polini huko. Kila dawa anaelekezwa na hawa malaika kulingana na ugonjwa au tatizo la mtu.
Hatua kubwa ya mwisho ni kuongea na MUNGU. Hii hatua ndio wengi wakifika hii wanatokea wanaojiitaa manabii. Hii hatua unaweza kujua vya mbele. Yaani mfano ulikuwa unataka kusafiri unaweza kujua safari yako ilivyo kabla hujaianza. Unaweza kujua kesho yako. Unaweza kuwaelewa wanyama wanasema nini? Mpaka sisimizi unaweza kuwasikia wanasemaje. Hapa ndio unaweza ukaacha kula nyama ya mnyama yoyote,ksbb wote wanakuwa marafiki zako n.k n.k.
UKIFIKIA HUKU UTAISHI MAISHA YA FURAHA SANA KSBB KILA KITU UNAKUWA UNAKIJUA.
HAPO NDIO MUNGU ALIPOSEMA WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA. MAARIFA YENYEWE NDIO HAYA YA KUFIKIA HUKO NDIO WENGI TUMEYAKOSA