Natafuta kazi ya kujitolea nina Degree ya IT

Aug 27, 2017
31
44
Habari za muda huu ndugu zangu?, Mimi Athumani mkazi wa Dar es salaam mwenye degree ya IT. Natafuta kazi ya kujitolea ili nipate uzoefu na kuongeza kitu kwenye CV yangu. Nina ujuzi wa graphics, na kutengeneza web apps hivyo naomba msaada wenu.
mawasiliano: 0656058186
 
Unataka uzoefu katika eneo Gani la IT .......

Networking

IT SUPPORT

Security system.

System developer

Cyber security and system investigation.

Efd machines system

Database

Sasa sema wewe ni eneo Gani unataka unataka uzoefu Gani tunaanzia hapo kwanza ..........

Ukishaelewa ni eneo Gani hatua inayofuata tutakupa mwongozo ni taasisi Gani au kampuni Gani upewe connection ya eneo unalotaka kujiboresha
 
Yan job seeker na Una degree na hujui kuhus psrs, inafikirisha San, anyway Pamban mkuu
Unajua kama huna elimu na hujui kama imekusaidia au la ni eneo hilo.

Unashindwaje kumuelewesha kistaarabu kwamba ni recruitment term(Public Service Recruitment Secretariat)psrs

Zaidi ya hapo unamfafanulia hiyo uzoef ataupataje simple
 
Unataka uzoefu katika eneo Gani la IT .......

Networking

IT SUPPORT

Security system.

System developer

Cyber security and system investigation.

Efd machines system

Database

Sasa sema wewe ni eneo Gani unataka unataka uzoefu Gani tunaanzia hapo kwanza ..........

Ukishaelewa ni eneo Gani hatua inayofuata tutakupa mwongozo ni taasisi Gani au kampuni Gani upewe connection ya eneo unalotaka kujiboresha
IT support
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom