Natafuta kazi ya kufundisha au kazi yoyote. Nina Bachelor Degree of Science in Education

Not fresh from school, i can say now am jobless legend, as man nishawek vyet chini several times na kujimix kwenye kaz ambazo most of educated people cant even dare to do, and still hustling najimix tu na degree yang mfukon since 2020
 
Kama upo mwanza....nenda shule inaitwa green view inatafuta mwalimu wa science and vocational primary...kafanye interview
 
Tafuta leseni ya gari kubwa au mabasi jikite hapo. Pia science umesoma angalia ufundi rahisi kwako wenye hela za kujikimu. Umeme wa magari, kutengeneza washing machines zinahitaji sana mafundi bado sio wengi na shughuli nyingne rahisi kwako. Walimu ni wengi sana mtaani. Usijihesabie kama umesoma. Changa karata upya.
 
Back
Top Bottom