Hongera Rais Samia, nchi imetulia tuli vizuri sana

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
49,700
Reaction score
40,102
Wananchi wameridhika na hali ya amani na usalama wao, wanafurahia sana na kwakweli wanaona, wanafaidika na kunufaika pakubwa na mipango na kazi kubwa na nzuri sana ya maendeleo unayoifanya kupitia serikali sikivu ya CCM.

Kwa hakika,
nchi imetulia vizuri sana na hali ya umoja, amani na usalama kwa waTanzania wote ni ya uhakika na ya kuaminika kila kona ya taifa letu.

Maadui wa umoja, amani na usalama wa taifa letu ndani na nje ya nchi, sasa wamepuuzwa na porojo zao mitandaoni hazina athari tena kisiasa, kijamii wala kiuchumi nchini.
Chapa kazi mama, waTanzania wote wanakuunga mkono kwa wivu mkubwa.

kazi na utu......:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Actually mm nashangazwa na hili jukwaa..

Kwanini wanafuta mijadala yenye maswali fikirishi na kuacha mada za kiboya kama yako?
labda uache tabia ya kutukana na kuporomosha matusi useless jukwaani wanaweza kukustahi gentleman,

but Dr.Samia Suluhu Hassan anafanya kazi nzuri na kubwa mno kwa maslahi mapana ya waTanzania wote :NoGodNo:
 
Wananchi wameridhika na hali ya amani na usalama wao, wanafurahia sana na kwakweli wanaona, wanafaidika na kunufaika pakubwa na mipango na kazi kubwa na nzuri sana ya maendeleo unayoifanya kupitia serikali sikivu ya CCM.

Kwa hakika,
nchi imetulia vizuri sana na hali ya umoja, amani na usalama kwa waTanzania wote ni ya uhakika na ya kuaminika kila kona ya taifa letu.

Maadui wa umoja, amani na usalama wa taifa letu ndani na nje ya nchi, sasa wamepuuzwa na porojo zao mitandaoni hazina athari tena kisiasa, kijamii wala kiuchumi nchini.
Chapa kazi mama, waTanzania wote wanakuunga mkono kwa wivu mkubwa.

kazi na utu......:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
Kama nchi imetulia mbona samia anaogopa kukutana na wapiga kura wake?
 
Hawa jamaa ni kuwa ignore..sijui mtu anajisikiaje kuandika vitu vya hivii
huo ni uamuzi binafsi useless zaidi kwa mdau yeyote yule huru wa JF gentleman,

wala hakuna haja ya kubabaika sana,
by the way,
kumuhifadhi mdau yeyote yule wa JF kwenye kifaa chako unachotumia kuingia JF ni utumwa wa kilofa sana gentleman. Yaani kila ukikibeba na kwenda nacho popote pale ulie muignore au kublock uko nae tu kiguu na njia mentally anda physically dah:pedroP:
 
Huyu si wanampa hela ya kusogeza mlo tu hana jipya
pwagu na pwaguzi wanapotoshana jukwaani baada ya kua pointless dhidi ya kazi kubwa na nzuri sana inayofanywa na rais Dr.Samia Suluhu Hassan kwa maslahi mapana ya wa Tanzania wote. dah:pedroP:
 
Kama nchi imetulia mbona samia anaogopa kukutana na wapiga kura wake?
Yaani Dr.Samia Suluhu Hassan,
akuogope wewe msusa uchaguzi na aache kufanya kazi ya kuwatumikia waTanzania wote kwa bidii usiku na mchana?

we vep gentleman? :pedroP:
 
pwagu na pwaguzi wanapotoshana jukwaani baada ya kua pointless dhidi ya kazi kubwa na nzuri sana inayofanywa na rais Dr.Samia Suluhu Hassan kwa maslahi mapana ya wa Tanzania wote. dah:pedroP:
Unachekesha na kisikitisha at once
 
Huu uzi una matusi gani?

Nimeuliza swali kwanini jf haileti mabadiliko kwenye jamii naona wanafunga comments
ok gentleman,
i'm sorry,

huo ni miongoni mwa uzi nzuri sana JF,
na kwakweli nimeusoma na nimeona namna ulivyoibua hisia mseto za kujenga na kutafakarisha sana.
na huenda hayo ni matokeo ya amani, utulivu na usalama uliopo nchini, kazi ambayo inafanywa vizuri sana na Dr.Samia Suluhu Hasssan.

pasingekua na amani,
kwa hakika usingepata utulivu wa fikra na kufyatua uzi makini kama huo.

nadhani wanafunga comments kwakua,
comments nyingi zimekau hash na hazina heshima wala hazijengi na zinaharibu maana na uzito wa hoja yenyewe.
Nadhani JF nao wanajaribu kulinda credibility yao dhidi ya utovu wa nidhamu na standards za mijadala.

nashauri tu move on gentleman,
hiyo challenge ibadili kua fursa ya kufanya vizuri zaidi mbeleni na itapendeza zaidi :NoGodNo:
 
ok gentleman,
i'm sorry,

huo ni miongoni mwa uzi nzuri sana JF,
na kwakweli nimeusoma na nimeona namna ulivyoibua hisia mseto za kujenga na kutafakarisha sana.
na huenda hayo ni matokeo ya amani, utulivu na usalama uliopo nchini, kazi ambayo inafanywa vizuri sana na Dr.Samia Suluhu Hasssan.

pasingekua na amani,
kwa hakika usingepata utulivu wa fikra na kufyatua uzi kama huo.

nadhani wanafunga kwakua,
comments nyingi zimekau hash na hazina heshima wala hazijengi na zinaharibu maana na uzito wa hoja yenyewe.
Nadhani JF nao wanajaribu kulinda credibility yao dhidi ya utovu wa nidhamu na standards za mijadala.

nashauri move on gentleman, hiyo challenge ibadili kua fursa ya kufanya vizuri zaidi :NoGodNo:
Wewe gentleman, ni kipaji Maalum, pole sana ndugu yangu
 
Hakuna kitu hapo...
Hii ni kwasababu wanashindwa kuwa daraja la kufichua uovu wa kinacho endelea..

Hakuna amani you dumbass
 
Wewe gentleman, ni kipaji Maalum, pole sana ndugu yangu
Gentleman,
usinipake mafuata kwa mgongo wa chupa na tafadhali,
na wala usinionee huruma kwa chochote,
kwasababu ninayaweza yote katika yeye anipae nguvu.

kazi kubwa inayofanywa na Dr.Samia Suluhu Hassan hususani katika eneo la usalama, inafanya mimi, wewe na wadau wengine wa JF kuinjoy kwa amani na utulivu mijadala JF :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom