Kisali.TechnitianJr.
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 592
- 183
Kuna mganga anatoa kazi, hata ukiwa darasa la saba anaweza kukupa kazi ya ugavana BOT, au akakupa u kamishna TRA ngoja nikutumie namba yake
Duh hii tamu
Kuna mganga anatoa kazi, hata ukiwa darasa la saba anaweza kukupa kazi ya ugavana BOT, au akakupa u kamishna TRA ngoja nikutumie namba yake
naipenda sana nchiyangu, napenda sana kufanya kazi kama usalama wa Taifa katika nchi hii,lakin sijawah ona maombi ya kazi ya hawa usalama wa taifa nifanyeje napenda sana:dance:
Hongera sana sasa litumikie taifa kwa nafasi uliyonayonimeshapata
nimeshapata
Una vigezo gani?naipenda sana nchiyangu, napenda sana kufanya kazi kama usalama wa Taifa katika nchi hii,lakin sijawah ona maombi ya kazi ya hawa usalama wa taifa nifanyeje napenda sana:dance:
hahahaaa......ni-pm km uko serious...ila haya mambo ni siri sana una kifua?
Unaipenda nchi yako kwa kuchagua kazi?naipenda sana nchiyangu, napenda sana kufanya kazi kama usalama wa Taifa katika nchi hii,lakin sijawah ona maombi ya kazi ya hawa usalama wa taifa nifanyeje napenda sana:dance:
We kweli ni mbwiga wa mbwiguke usalama uliopata labda wa familia.nimeshapata
Mbona umeweka kijana/binti?si ungeweka tuu bintiKwanza Mwanzilishi wa Mada Hii Inaonekana haupo Serious halafu Unafanya Masihara na Kwa Masihara hayo hayo Tayari Huna Sifa za Kuwa Secret Agent Kwani Unaonekana Unaitaka Sana Wakati Haiko Hivyo Kwani Wenyewe Wahusika Wa Kufanya Recruit Wapo na Wanachagua Watu Wao Kulingana na Vigezo Vyao na Hawakuangalii Ukiwa NJEMBA ( Mkubwa Hivyo Ulivyo Sasa ) bali Kipaji cha Mtu wa Espionage Huonekana Mapema Sana Akiwa Mdogo na Haswa Kuazia Primary School. Wewe cha Kufanya Kafie Mbele tu na Kazi Zipo Nyingi! Umejaribu PCCB? Huko Nadhani Kwa Njaa Uliyonayo Panakufaa ila Siyo Sehemu Nyeti Kama TISS. Tokea Uzaliwe Huko UNYARUGUSUNI Kwenu ni Lini Umesikia Kazi za Usalama wa Taifa ZINATANGAZWA? Acha Masihara Kijana / Binti.
UshakunakuUna vigezo gani?
Upo department gani mkuu?nimeshapata