Kama unaipenda nchi kuwa police jamii....naipenda sana nchiyangu, napenda sana kufanya kazi kama usalama wa Taifa katika nchi hii,lakin sijawah ona maombi ya kazi ya hawa usalama wa taifa nifanyeje napenda sana:dance:
Cha gym kipoYale yale
Kwanin unasema Yericko ana nin huyoMtafute Yericko Nyerere, atakusaidia kukuunganisha na hizo kazi
Hakuna kitu kibaya kama kukosea kuchagua kabla ya kuwa polis/mjeshi au TISS jiulize kwanin unataka kufanya hizo kazi . kazi kama ya TISS huongozwa na kanuni ya uzalendo kwanza kupenda nchi yako kuliko maslahi yako binafsi tunasema anasa za uraia . ukipenda zaid anasa hizo ni lazima ujute kwa sababu roho ya uzalendo huna na kule hakuna dili dili za ovyo maybe ufanye uhuni tu kusaliti kambiHebu jieleze hapa nini kimekuvutia na unadhani majukumu ya usalama wa taifa ni yepi. Usisahau kuanza na elimu yako.
Fanya utafiti kabla kuomba usichokijua ukajuta maishani. Nimekutana na watu wengi wapo polisi na majeshi mengine wamekata tamaa.muda umeenda.kutoka hawajui watafanya nini.
Mku sijawahi kusikia hata fild zao hata wanavyopatikana. Vipi uliwahi kufika ktk lile daraja la kuukosa utume wa utumishi wa Bwananaipenda sana nchiyangu, napenda sana kufanya kazi kama usalama wa Taifa katika nchi hii,lakin sijawah ona maombi ya kazi ya hawa usalama wa taifa nifanyeje napenda sana:dance: