Natafuta kazi ya usalama wa Taifa

Natafuta kazi ya usalama wa Taifa

Hebu jieleze hapa nini kimekuvutia na unadhani majukumu ya usalama wa taifa ni yepi. Usisahau kuanza na elimu yako.
Fanya utafiti kabla kuomba usichokijua ukajuta maishani. Nimekutana na watu wengi wapo polisi na majeshi mengine wamekata tamaa.muda umeenda.kutoka hawajui watafanya nini.
 
Kama unaipenda sana nvhi yako kazi nzuri kwako ni ualimu na uafisa kilimo.

Usalama wa Taifa siku hizi wamekuwa uhasama wa Taifa kazi yao ni kung'oa watu kucha na meno.
Dead [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanza Mwanzilishi wa Mada Hii Inaonekana haupo Serious halafu Unafanya Masihara na Kwa Masihara hayo hayo Tayari Huna Sifa za Kuwa Secret Agent Kwani Unaonekana Unaitaka Sana Wakati Haiko Hivyo Kwani Wenyewe Wahusika Wa Kufanya Recruit Wapo na Wanachagua Watu Wao Kulingana na Vigezo Vyao na Hawakuangalii Ukiwa NJEMBA ( Mkubwa Hivyo Ulivyo Sasa ) bali Kipaji cha Mtu wa Espionage Huonekana Mapema Sana Akiwa Mdogo na Haswa Kuazia Primary School. Wewe cha Kufanya Kafie Mbele tu na Kazi Zipo Nyingi! Umejaribu PCCB? Huko Nadhani Kwa Njaa Uliyonayo Panakufaa ila Siyo Sehemu Nyeti Kama TISS. Tokea Uzaliwe Huko UNYARUGUSUNI Kwenu ni Lini Umesikia Kazi za Usalama wa Taifa ZINATANGAZWA? Acha Masihara Kijana / Binti.
Upo sahihi aisee
 
Back
Top Bottom