Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

Status
Not open for further replies.
CV yako nimeipenda, ni2mie 35,000/= niku2mie maswali watakayokuuliza kwnye usaili usalama wa taifa.
its mi SHAFII .......
 
Wana jamvi!

Naombeni msaada wenu kunipata assistance yoyote itakayo nipa uwepesi kufanikiwa kazi @ usalama wa taifa - national security

Asanteni!
Una bei gani?manake siku hizi ni mwendo wa 'chukua chako mapema'
 
Mtafute Chagonja ndio deal zake maana miaka imeshafikia ukingoni anatafuta deal la kustaafia....ama la muone mke wa Chagonja pia nae atakupeleka faster tu!
 
sijui ni kasumba, vijana wengi wana wimbi la uelewa kua ukifanya kazi kitengo kile basi maisha ni mteremko tu. :dizzy:
 
Mtafute Chagonja ndio deal zake maana miaka imeshafikia ukingoni anatafuta deal la kustaafia....ama la muone mke wa Chagonja pia nae atakupeleka faster tu!

Bado mama Chagonja anafanya hayo makaratee Lambardi Kama vpi ani-pm au kama anaona mie ntamuwekea uciku amuibukie kwake pale kilwa rd adjacent na college of police officers..
 
Last edited by a moderator:
nenda ofisi ya mkuu wa wilaya iliyo karibu na wewe mtafute mtu anaitwa DSO hawa jamaa ndio wanapewa taarifa za nafasi kama zipo na ndio wanarecommend watu wa kuajiriwa na TISS. Naamini atakupa ushirikiano na ushauri mzuri kuhusu jinsi wanavyoajiri
 
kuwa n mtazamo mwingine wa kutafuta kazi ,kama nihiyo kazi iko na wenyewe.jaribu kwingine kama jeshini,polisi,magereza n.k lakini ni hiyo kazi ya TISS huko mdogo WAACHIYE WENYEWE.
 
Rejea katiba ya JMT kipengele kinachohusu haki na wajibu wa raia.
 
nenda ofisi ya mkuu wa wilaya iliyo karibu na wewe mtafute mtu anaitwa DSO hawa jamaa ndio wanapewa taarifa za nafasi kama zipo na ndio wanarecommend watu wa kuajiriwa na TISS. Naamini atakupa ushirikiano na ushauri mzuri kuhusu jinsi wanavyoajiri

Haya ndo majibu ya maana, na hii ndo JF ilitakiwa kuwa sio kejeli na polojo!
 
national security are people who have high TC!!! vp wewe???? au result zimezinguwa?
 
Jaman mimi naomba niulize hivi nikienda ofsi za usalama wa taifa zozote nikauliza namna ya kupata kazi zao wanaweza kunidhuru au kunifanyia kitu mbaya nataka niende nikamuulizie mdogo wangu anapenda sana hiyo kazi jaman sasa hata pa kuanzia hana
 
Kwa kuwa kazi zao huwa hazitangazwi hakuna tatizo kama utakwenda ktk ofisi zao kueleza shida yako. Wapo kwa ajili ya kuwatumikia watanzania. Au, kama unafahamiana na mtu anayefanyia kazi huko ongea naye ili akupe muongozo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom