Kwa kuwa kazi zao huwa hazitangazwi hakuna tatizo kama utakwenda ktk ofisi zao kueleza shida yako. Wapo kwa ajili ya kuwatumikia watanzania. Au, kama unafahamiana na mtu anayefanyia kazi huko ongea naye ili akupe muongozo.
Huwa wanachukua vijana wengi wanafeli kn
weye vetting na kujikuta wanabaki na wajukuu wa wakuu wa usalama wa taifa enzi za mwal nyerere.....
Ajaribu ustawi wa jamii anaweza kubahatisha afisa afya kata ya nankurunkuru lindi vijijini
Huwa wanachukua vijana wengi wanafeli kn
weye vetting na kujikuta wanabaki na wajukuu wa wakuu wa usalama wa taifa enzi za mwal nyerere.....
Ajaribu ustawi wa jamii anaweza kubahatisha afisa afya kata ya nankurunkuru lindi vijijini
Hivi Tumbu unaendaje kumtafutia kazi ya Usalama wa Taifa mdogo wako? Ina maana kuwa yeye hana uwezo wa kujisimamia je na kazi yenyewe ataiweza? Sidhani pia ukifika pale watakuelewaje kama muhusika mwenyewe siyo committed. Mwambie mwenyewe aende as a potential candidate!!
Nenda tu majibu hayakosekani
Nenda.uoga wako ndo umasikini wako.fika eleza shida yako.if no sawa if yes sawa.nchi huru jamanii.kwani kuuliza ni kuvunja sheria?
!
!
akaanze kuwa chipukizi, halafu umoja wa vijana, mgambo, jkt hadi atakuwa usalama wa taifa.
Kama wahusika utakaowakuta mlangoni wanaijua kazi yao hawawezi kukukatalia.
Jambo jingine la msingi kabla hujaenda huko muulize mdogo wako kwa nini anaipenda hiyo kazi lakini anawaogopa hao UWT. Swali ls kwanza utakaloulizwa ni kwa nini unaitaka hiyo kazi. Vinginevyo unatakiwa kujua kuwa hiyo ni kazi kama kazi nyingine. Kuna mazuri na mabaya yake. Kuna raha na tabu zake. Zaidi ya yote kila mtanzania ili mradi awe na sifa ana haki ya kujiunga na UWT.
Kwanza kupenda tu hiyo kazi, ameshakosa vigezo.
Hiyo kazi mtu huwa hapendi yeye, ila anapendwa.