SoNotorious
JF-Expert Member
- Sep 11, 2011
- 2,422
- 859
Habari wakuu, mi huwa navutiwa na napenda sana kufanya kazi za kijasusi! though ninasomea professional nyingine lakini hii nimetokea kuipenda sana huku nikijiamini kuwa naiweza kuifanya! na huwa navutiwa sana na umakini wa PSU mpaka wengine nimewakariri sura zao! tatizo ntaipata vipi? Japo wengine wakinambia kuwa ni risk sana! Je naweza nikapata maelezo naweza ipata vipi?
sometimes hizo kazi ni risk kama ulivyosema, kuna wakati inabidi ukubali kuliwa muhimu target iwe arrested, uzuri wako na siri sana hata ukiliwa hakuna atakaejua.