Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,558
- 109,092
Wewe hujui kazi za Usalama wa Taifa ni nini acha kukurupuka.Serikali inayo idara ya Usalama wa Taifa(TISS), is not an idea, it is the fact! kwa ajili ya kuhakikisha taifa linakua salama from internal and external threats! nikipata kazi task kubwa itakua kuhakikisha ustawi wa amani katika nchi yetu kwa kuzuia uhalifu(wizi, ujambazi,biashara haramu,ubadhirifu,matumizi mabaya ya fedha n.k) na kuhakikisha uwepo wa usalama kwa wananchi kwa ujumla
View attachment 78737