Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

Status
Not open for further replies.
Ndugu unakosea kufanya conclusion kwa dunia mzima kwa sample ya tanzania tu wakati hapo kenya tu wanatangaza magazetini.....hizo kazi zina taratibu zake jinsi ya kujiunga, nadhani bado hata tanzania bado zinatumia, ni wachache sana wanapenya kwa taratibu za hovyo hovyo na ndio wanaharibu, othersiwe wako poa

Mkuu fanya follow up kidogo, sio kenya sio marekani..japo zipo nchi zina kiwango kikubwa cha transparent kuhusu izo kazi but, mpaka sasa hivi inteligenc ya nation wao ndio wanarecruit..either kutoka kwenye jeshi,police ama kutoka direct from civil.
 
I remembr miaka kadhaa iliyopita nilikuwa miongoni mwa watu wachache waliofanyiwa interview ya hii kitu .Kutoka wilayani nilipita fresh ila nilipofika mkoani, mambo yakaharibika. Nilikuwa naipenda sana kazi hii hadi leo, ila nilipoona sina changu pale, by the way ndio nilikuwa nimemaliza form 6 nikaamua kujitupia chuoni, mpaka sasa nina maisha yangu na-look forward.

Kuhusu kutangazwa hazitangazi hadharani, ila wale sijui ndio makamishna wa wilaya wanapewa kazi ya kuwatafuta watu wenye sifa wanawafanyia usaili na a lot of things before ya kuchukuliwa. Sasa pale kama ni michakato, ndio inaanzia hapo.
 
Naomba nkuulize maswali ya ufahamu. Unaelewa nini kuhusu "ujasusi" unahisi serikali ina kitengo cha ujasusi? If yes were did you got this idea?, since when umeanza kuipenda hii kazi?...unahisi ukipata hii kazi, task kubwa ni nin?.. Be free just answer what is coming direct on your mind.

mngony
Mpm Sixgate trust me he is one of them atakusaidia
Mkuu sixgate chukueni kijana huyo atawasaidia inaonyesha hana njaa ila anaipenda tu hiyo kazi
 
@mgony usipate tabu..huyu mtu hapa Six nina kila wasiwasi ni mmoja wao.. Sixgates msaidie kijana anaonyesha ana nidhamu.
 
mngony
Mpm Sixgate trust me he is one of them atakusaidia
Mkuu sixgate chukueni kijana huyo atawasaidia inaonyesha hana njaa ila anaipenda tu hiyo kazi

Sabayi tuna maono sawia
 
Last edited by a moderator:
Kiukwel me cpingi kama mtu alikua na malengo kama haya coz cjui uelewa wake,navyojua intelligency kwa wenzetu ni watu wanaongaliwa kuanzia shulen mpaka vyuoni kifupi ni watu extra ordinary geneous sio tu baba yuko pale na ww unaingia,cna hakika kwtu ikoje coz kwa hali iliyopo saiv inawezekan hawa jamaa wanafanya kz sana au hakuna serious threats,sitak kuamin kua hakuna maadui au uasi,inawezekana wako fit, me nilibahatika kusoma na watu wajuaji sana si wale tu niliosoma nao hata wengine ktk instituon zingine mpaka sasa wengi nawajua waliko hawako huko so ushauri olabda ufanye lobbying!
 
Mkuu fanya follow up kidogo, sio kenya sio marekani..japo zipo nchi zina kiwango kikubwa cha transparent kuhusu izo kazi but, mpaka sasa hivi inteligenc ya nation wao ndio wanarecruit..either kutoka kwenye jeshi,police ama kutoka direct from civil.

Angalia hapa

[h=3]EMPLOYMENT OPPORTUNITIES[/h]
The United States Secret Service is looking for highly qualified men and women from diverse backgrounds who desire a fast paced, exciting and challenging career.
The Secret Service is a federal law enforcement agency headquartered in Washington, D.C., with more than 150 offices throughout the United States and abroad. The Secret Service is mandated by Congress to carry out dual missions: protection and criminal investigations. The protective mission of the Secret Service encompasses protection of, among others, the President, the Vice President, former presidents, visiting heads of state, and major presidential and vice presidential candidates. The investigative mission of the Secret Service entails the investigation and enforcement of a variety of crimes, to include, but not limited to, counterfeiting, financial institution fraud, computer and telecommunications fraud, access device fraud, and money laundering violations.
Upcoming Job Fairs
Employment Testing Locations
[h=4]Secret Service Positions [/h]Current Vacancies

[h=5]For More Information[/h]If you have questions, please contact the Secret Service Recruitment Program at 202-406-5830 begin_of_the_skype_highlighting
numbers_button_skype_logo.png
202-406-5830 FREE end_of_the_skype_highlighting
, or TTY 202-406-5390.
[h=5]How to Apply[/h]
 
Mkuu fanya follow up kidogo, sio kenya sio marekani..japo zipo nchi zina kiwango kikubwa cha transparent kuhusu izo kazi but, mpaka sasa hivi inteligenc ya nation wao ndio wanarecruit..either kutoka kwenye jeshi,police ama kutoka direct from civil.

Unachokisema kifanyika hapa Tanzania zamani, kwa sasa watu ni wengi sana. watu walichukuliwa wakati wa JKT na wengine waliandaliwa katika special school kama mzumbe,tabora nk , lakini sasa JKT yenyewe inayorudishwa, sidhani tuna uwezo wa kuwachukua form six wote , au wahitimu wengine wote, maana ni zaidi ya 300,000. vile vile huwezi peleka kila mtu special schoohhoo, wazazi wanaamua wampeleke wapi, maandalizi huwa ni siri hata mhusika hajui
 
Mkuu wewe unaongea kama mtu wa serikali kabisa. mngony ebu M-PM huyu andrewk hakika uyu ni TISS
 
Last edited by a moderator:
Kuwa muwazi basi utufaidishe na sisi wengine juu ya sifa zilizokupelekea kuipenda kazi hiyo
 
pono ofisi zipi? kwa sababu huwa wana ofisi za wilaya, mkoa, na zinginezo kama vile makao makuu! nisaidie na utaratibu mzima namuona au nikifika tu mtu yeyote namueleza shida yangu?

kama uko dsm nenda magogoni but pale kuwa makini omba kuonana ofisa wa zamu wambie security nashida then watakupa maelekezo nani umwone kama una moyo jasili panda kwa DDG-TISS jack zoka au nenda moja kwa DG-TISS Othuman Rashidi ukishindwa mtafute Apson Mwang'onda kule mbeya kapunzika baada ya kuitumikia Muda mrefu TISS Kama uko mkoani nenda ofisi zao omba kuonana na RSO Na wilayani nenda ofisi zao omba kumwona DSO First prity wasukuma,wakelewe na wapemba ndio wanaweza ukibahatika kupata PSU Vyema uwe mtu wa mazoezi sio mchumba.
 
mngony
Mpm Sixgate trust me he is one of them atakusaidia
Mkuu sixgate chukueni kijana huyo atawasaidia inaonyesha hana njaa ila anaipenda tu hiyo kazi

Hahahaa sijakuepo jamvin mda kidogo tu tayari mshanichafua? Sio kweli mim ni mwananchi wa kawaida jamani
 
mngony
Mpm Sixgate trust me he is one of them atakusaidia
Mkuu sixgate chukueni kijana huyo atawasaidia inaonyesha hana njaa ila anaipenda tu hiyo kazi
Kama huyo 6gate naye ni mmoja wao basi nchi hii haina watu wenye sifa kwenye hiyo Idara ya UWT. Cheki kiingereza chake: "If yes were did you got this idea?" Halafu mtu kama huyu ndio unakutana naye akufanyie usaili! Ama kweli ni Tz tu ndipo utakuta akili ndogo zikiongoza akili kubwa! Khaaaa, mpaka inatia kichefuchefu!
 
Naomba nkuulize maswali ya ufahamu. Unaelewa nini kuhusu "ujasusi" unahisi serikali ina kitengo cha ujasusi? If yes were did you got this idea?, since when umeanza kuipenda hii kazi?...unahisi ukipata hii kazi, task kubwa ni nin?.. Be free just answer what is coming direct on your mind.

Serikali inayo idara ya Usalama wa Taifa(TISS), is not an idea, it is the fact! kwa ajili ya kuhakikisha taifa linakua salama from internal and external threats! nikipata kazi task kubwa itakua kuhakikisha ustawi wa amani katika nchi yetu kwa kuzuia uhalifu(wizi, ujambazi,biashara haramu,ubadhirifu,matumizi mabaya ya fedha n.k) na kuhakikisha uwepo wa usalama kwa wananchi kwa ujumla
 
kuna kazi uki-wish kuzifanya zinakuweka karibu na shetani bila kujijua! hebu nipite hapa kabla Mwanamalundi hajaniambia HAYANIHUSU........!

kivipi? kwani kuhakikisha uwepo wa amani na utulivu na kuzuia uhalifu si ndio mungu anapenda?
 
Last edited by a moderator:
Nenda Kurasini na Milioni zako 2 muone mke wa Chagonja na utakuwa umepata hiyo kazi, ila mtahadharishe kabisa kwamba akikidhurumu unamloga na hata panya hawatosalia nyumbani kwake.
 
Kuwa muwazi basi utufaidishe na sisi wengine juu ya sifa zilizokupelekea kuipenda kazi hiyo

nafurahishwa na jinsi wanavyotumia akili na mbinu mbalimbali ku-counter uhalifu na wahalifu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom