Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

Status
Not open for further replies.
nenda ofisin kwao,waambie unataka kazi watakupa,seriously
 
mtu chake, mmh kweli hufaham? TISS(Tanzania Intelligence and Security Service). PSU ni kitengo cha kulinda maraisi, kirefu chake sijawahi kuambiwa but nahisi itakua President's Security Unit. Km nimekosea wanaojua watanirekebisha. alafu kuna CPU(Close Protection Unit) kwa nchi za wenzetu km vile MI6 hulinda viongozi na members of the royal famili. Sasa sijui km nlisikia PSU or CPU
 
pono ofisi zipi? kwa sababu huwa wana ofisi za wilaya, mkoa, na zinginezo kama vile makao makuu! nisaidie na utaratibu mzima namuona au nikifika tu mtu yeyote namueleza shida yangu?
 
wilayani watakuyeyusha,wewe nenda makao makuu yao,ila ukubali kuanzia kazi yoyote kabla ya first assignment
 
ok, ntaanzia ngazi ya mkoa ofisi ya mkuu mkoa pale rahisi kuingia. wakinizungusha ntaangalia kwenda makao makuu, lakini nafikiria naingiaje pale maana sio sehem ndogo Headquarters za taasisi nyeti kama ile! Anyway.
 
nawashkuru kwa maelezo, pono unaposema kazi yeyote unamaanisha nini? na unaposema first assigment unamaana gani? assigment ni ya nn au kwa lengo gani? kunipima au? je wanaweza kumpa mtu assignment bila kumpa mafunzo?
 
Kila mkoa na Wilaya zina ofisi za Usalama wa Taifa, ulizia kwa wakuu husika. Ila jua ile kazi kama wanafuata sheria na taratibu zilizopo wanaoomba kwa personal interest ni nadra sana!!! Kiutaratibu mara nyingi ni lazima waku-point wao!! Ila kwa sasa nimjue nani na ndiyo maana hakuna maadili na siri zinafumuka nje nje!! Enzi zetu ni kuanzia Primary School observation zinafanyika na kuna taratibu zake hadi hapo utakapofikia kiwango na watakuchukua kwa utaratibu!! Nina details ila kawaida hazitakiwi hadharani. Cha msingi nenda ofisi hizo na kama watakuhitaji watakuelekeza ila usitegemee kupata haraka!!! Watakusoma wee hata miaka mitano, itategemea na spidi ya msomaji wako!! Ha ha!!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Habari wakuu, mi huwa navutiwa na napenda sana kufanya kazi za kijasusi! though ninasomea professional nyingine lakini hii nimetokea kuipenda sana huku nikijiamini kuwa naiweza kuifanya! na huwa navutiwa sana na umakini wa PSU mpaka wengine nimewakariri sura zao! tatizo ntaipata vipi? Japo wengine wakinambia kuwa ni risk sana! Je naweza nikapata maelezo naweza ipata vipi?
muombe MUNGU kila siku anaweza kusikia kilio chako maana hamtupi mja wake
dedication: njoo ufanyiwe maombi(bonny mwaitege)2010
 
Fuata ushauri wa kuanzia katika ofisi ya Afisa Usalama wa Wilaya uliyopo.
 
Kila mkoa na Wilaya zina ofisi za Usalama wa Taifa, ulizia kwa wakuu husika. Ila jua ile kazi kama wanafuata sheria na taratibu zilizopo wanaoomba kwa personal interest ni nadra sana!!! Kiutaratibu mara nyingi ni lazima waku-point wao!! Ila kwa sasa nimjue nani na ndiyo maana hakuna maadili na siri zinafumuka nje nje!! Enzi zetu ni kuanzia Primary School observation zinafanyika na kuna taratibu zake hadi hapo utakapofikia kiwango na watakuchukua kwa utaratibu!! Nina details ila kawaida hazitakiwi hadharani. Cha msingi nenda ofisi hizo na kama watakuhitaji watakuelekeza ila usitegemee kupata haraka!!! Watakusoma wee hata miaka mitano, itategemea na spidi ya msomaji wako!! Ha ha!!

ok, najua ile kazi ina kanuni na taratibu zake sihitaji for personal interest kwa sbb nina professional ninayosomea na naipenda tangu utoto wangu, Medicine (may be mimi kuipenda kazi itafsiriwe as personal interest). nashkuruni sana kwa maelezo!
 
halafu inatia maudhi sana wanaotamani kuifanya kazi hiyo kwa moyo huwa hawapati nafasi. wasiotaka kuifanya kwa dhati ila kwa kuunganishiwa ndio wamejaa tele matokeo yake wanharibu tu sifa ya kazi yenyewe hapa TZ.
 
lazima upimwe kweli kama una nia ya dhati ya kujiunga nao na uvumilivu
nawashkuru kwa maelezo, pono unaposema kazi yeyote unamaanisha nini? na unaposema first assigment unamaana gani? assigment ni ya nn au kwa lengo gani? kunipima au? je wanaweza kumpa mtu assignment bila kumpa mafunzo?
 
Habari wakuu, mi huwa navutiwa na napenda sana kufanya kazi za kijasusi!

Naomba nkuulize maswali ya ufahamu. Unaelewa nini kuhusu "ujasusi" unahisi serikali ina kitengo cha ujasusi? If yes were did you got this idea?, since when umeanza kuipenda hii kazi?...unahisi ukipata hii kazi, task kubwa ni nin?.. Be free just answer what is coming direct on your mind.
 
kuna kazi uki-wish kuzifanya zinakuweka karibu na shetani bila kujijua! hebu nipite hapa kabla Mwanamalundi hajaniambia HAYANIHUSU........!
 
Last edited by a moderator:
halafu inatia maudhi sana wanaotamani kuifanya kazi hiyo kwa moyo huwa hawapati nafasi. wasiotaka kuifanya kwa dhati ila kwa kuunganishiwa ndio wamejaa tele matokeo yake wanharibu tu sifa ya kazi yenyewe hapa TZ.

Sio tanzania tuu.. Serikali za dunia zimekua zikitumia utaratibu huu..kuwa na nia au kuipenda tuu hii kazi haitoshi... Mambo mengi huzingatiwa, nchi nyngine hutizama emotions,ukoo uliotokea, wanatizama your horoscope, mahusiano etc etc
 
Duh, mwanichekesha mie, mwingine kasema CPU badala ya PSU!
 
Ndugu unakosea kufanya conclusion kwa dunia mzima kwa sample ya tanzania tu wakati hapo kenya tu wanatangaza magazetini.....hizo kazi zina taratibu zake jinsi ya kujiunga, nadhani bado hata tanzania bado zinatumia, ni wachache sana wanapenya kwa taratibu za hovyo hovyo na ndio wanaharibu, othersiwe wako poa

Sio tanzania tuu.. Serikali za dunia zimekua zikitumia utaratibu huu..kuwa na nia au kuipenda tuu hii kazi haitoshi... Mambo mengi huzingatiwa, nchi nyngine hutizama emotions,ukoo uliotokea, wanatizama your horoscope, mahusiano etc etc
 
Me napenda kuangalia movies za kijasusi tu hasa za watu wa CIA lakin hii kazi nahisi ni ngumu sana,
some tym unajikuta unafanya mambo kinyume na itikadi zako za KIDINI,
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom