Habari wana Jamiiforum,
Poleni na majukumu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya Computer Science mwaka jana, jinsia ni mwanaume, naishi Ilala- Dar es salaam, nafanya shughuli za Web Development.
Nimekuja mbele zenu kuomba msaada hapa nilipo hali yangu siyo nzuri kifedha na Computer ambayo naitumia kwa shuhuli zangu imeharibika haifanyi kazi, kwa hiyo nashindwa kufanya kazi za Web Development.
Nilikuwa naomba msaada wa kazi yoyote halali ili angalau nipate fedha kwa ajili ya kununua PC mpya kwa ajili ya kazi zangu. Naweza kufanya kazi za ofisini za kutumia computer kama zipo, pia naweza kusimamia biashara kama duka.
Pia naweza kufundisha masomo kama mathematics na physics, kama una mwanao wa secondary au shule ya msingi naweza kumfundisha. Naomba msaada wa kazi ndugu zangu, nitafanya kwa bidii na Mungu awabariki sana.