Msaada: Nina taaluma ya Welding natafuta kazi

Jul 24, 2018
10
18
Habari wadau,

Jamani mwenye kujua au anayo nafasi yoyote ya kazi nina taaluma ya welding kama vile.

Gate/ madrisha/ mabango/ minara/ kenchi

Pia naweza kufanya kaz yoyote ya halali msaada nipo kwenye kipindi kigumu mmno nipo mwanza

Phone number 0614853457
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom