Natafuta kaka/dada

Natafuta kaka/dada

Afadhari kama umeliona hilo pacha wangu. Najua unakwepa kuniita dada kwa sababu ya shikamoo na hasa kwa ile aleji yako hata hivyo si mbaya tukiwa pacha hakuna shida.
th teh teeeeeeeeeeeeee, aleji sa saikolojia, lol!
sawa pacha.....
 
Hapa ndo utata unapokuja , ukimruhusu Kaizer kuwa bestb friend wako basi name natoka kwenye udogo naingia kwenye ubest friend...........nimegundua ukaidi mtamu
Sasa Fixed Point unakubaliana na haya ya Kaizer kesha potezea kuhusu kukuita wewe dada na kukupa heshima yako na pia ameshamspoil MwanajamiiOne nae anataka kukuita best friend haya mie simo bwana.
 
Last edited by a moderator:
BAK we acha tu.....anataka kuwa mzee kama babu Dark City wakati baaado kabisa

Umeona mdogo wangu KOKUTONA, huyu Fixed Point ni mbishi sana huyu...

Ila leo kaumbuka...akiona watu hatupigi pyepye sana, anadhani sote ni watoto wenzake....

Wenzie tumepigana hadi vita ya idd Amini ya 1972....wakati huo yeye hajazaliwa...lol!!

Babu DC!!
 
Mmmh..!! kweli umezeeka aisee..., mimi vita ya Idi Amini niliyopigana ninayoíkumbuka ni ya 1978 nikiwa na akina Walden, kumbe kuna mliyopigana 1972...... !??
 
Last edited by a moderator:
Mimi nina fifte kasoro, hamjambo? Wakubwa zangu shkamoooooooni na wadogo kwangu marahaaaaaaba!!
 
Mmmh..!! kweli umezeeka aisee..., mimi vita ya Idi Amini niliyopigana ninayoíkumbuka ni ya 1978 nikiwa na akina Walden, kumbe kuna mliyopigana 1972...... !??

Siyo hiyo tu mdogo wangu, wenzio tulianza na Biafra,

Babu DC!!
 
Umeona mdogo wangu KOKUTONA, huyu Fixed Point ni mbishi sana huyu...

Ila leo kaumbuka...akiona watu hatupigi pyepye sana, anadhani sote ni watoto wenzake....

Wenzie tumepigana hadi vita ya idd Amini ya 1972....wakati huo yeye hajazaliwa...lol!!

Babu DC!!

Yaani babu twakomajee? huyu dada yetu Fixed Point ana mkwaraa.

Yaani tunatoa shkamoo kama dosi......nna was was nawewe utaambiwa AMKIAA....si umeonaaa amesema VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA.

Ila mimi nimesalimu amri....maana ni dada yangu kabisaaa....sasa kwako sijui itakuwaje.

Sitaki hata kuwa shahidi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom