Natafuta kaka/dada

Natafuta kaka/dada

Mkuu huyu BC yangu nimemuonyesha anadai ni ya kuchonga ili mradi tu shikamoo zinitoke 🙂🙂
ha haaa, rafiki hiyo salamu inakuumaaaaa.....
itoe kiroho safi tu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
mmmhhhh! hapa nina wasiwasi kidogo.... hii kona ya ghafla ni hivi hivi tu au kuna catalyst?
wewe na mwaJ naomba tu tuheshimiane..... muendelee kukubali kuwa mimi ni dada yenu..... (kama namwona Mwaj) Mamndenyiiiiiiii, nitamfikiria.......
hapo kwa Dark City na huyo mwingine sijampata itabidi tuangalie upya
Bora umesema mwenyewe kuwa kama unaniona vile!
 
Mkuu huyu BC yangu nimemuonyesha anadai ni ya kuchonga ili mradi tu shikamoo zinitoke 🙂🙂
Hahahaha sasa hapo haiwezekani kama mpaka vielelezo umetoa bado haamini . Itabidi tu akubali kwa imani kuwa wewe ni mkubwa kwake hata kama ana aleji ya shikamoo lkn ajue tu wewe ni mkubwa inatosha.
 
hahahhaah! mwali mie nimekwambia ukweli usiopingika kabisa.
na tatizo langu ni moja huwaga sisemi uongo hasa kwenye vitu siriaz. Mamndenyi halina ubishi kabisa kwamba she ia elder than anybody among the mentioned one. i did respect you Mamndenyi. Wewe ni mama kwangu. mwaJ na mimi hilo nakuachia wewe uamue
kwa Dark City, CHUAKACHARA, Asprin na Superman hawa nakwambia huwakuti kiumri wa kuzaliwa. naweza guess wamezaliwa late 60"s.

kidogo wewe waweza kuwa umelingana umri na Maxence Melo, Liverpool fc, Kaunga (u cant deny it), paka jimmy
Hivi hii case haiishi tu?
 
Hivi mkuu bado unaamini ktk vyeti. Bongo vitu vingi fake naogopa kusema kua itakua ngumu kupata vyeti halisi au kuujua umri halisi labda umpeleke kwa wataalamu wakampime ili kujua umri . Lakini angalia moyoni mwako ukiona unawiwa kumuamkia shikamoo basi fanya hivyo atakua anastahili. Umri wa MwanajamiiOne naamini upo chini kama alivyotaja ndivyo.

Mekuelewa rafiki....na hilo nalifahamu ndo maana humu maofisini unakuta wato wamezeeka hadi wanapoteza kumbukumbu lakini unaambiwa bado hajatimiza umri wa kustaafu. Najichekeaga tu.

Kwa Fixed Point na MwanajamiiOne naamini na nimewiwa kuaamkia na nimeshawapa heshima yao..si eti jamani?
 
Last edited by a moderator:
mambo mengine watu wazima kama sisi tunamaliziana kimya kimya mdogo wangu Mwanajamiione, sawa?
trust me, wewe ni mdogo wangu, tena sana tu
Umenifurahisha mno kweli mkubwa haulizwi cheti nimekumbuka sasa inabidi wakubali yaishe wakupe tu heshima yako tena kikwetu lazima ubend kidogo kimjini mjini lkn kule kwenyewe unapiga goti mpaka chini na hukunjui mpaka umalize salaam
 
Mekuelewa rafiki....na hilo nalifahamu ndo maana humu maofisini unakuta wato wamezeeka hadi wanapoteza kumbukumbu lakini unaambiwa bado hajatimiza umri wa kustaafu. Najichekeaga tu.

Kwa Fixed Point na MwanajamiiOne naamini na nimewiwa kuaamkia na nimeshawapa heshima yao..si eti jamani?
Lakini ya kwangu hujaitoa mbona unaipotezea hata mwaJamiiOne amenikubali sasa na wewe unasubiri nini jamani
 
Last edited by a moderator:
Hahahah Da Mkubwa Ablessed bahati mbaya mie sikuwa raised as a lady, si wanasemaga ladies are not supposed to disclose their real age? Mie I have just disclosed it..................... yes its 38 yrs ofcoz I don't look my age but that's me.
Da Mdogo KOKUTONA, usijali vimezingatiwa. Now Fixed Point, please your certificate to show that you deserve that 'shikamoo' from a near 40 yrs lady....................... I wont rest .....in peace until you have shown me ................I am waiting

Thanks dada...haya sasa dada Fixed Point wadaiwa huku
 
Last edited by a moderator:
Khaaa! Haki gani? Kwanza nani kawaambia haki inaombwa? Haki hudaiwa bandugu. Shikamoo kwangu hamuipati ng'oooo!
Ndio maana tumeanza kuidai dear. Fumba macho anza kuamkia tu hakuna taabu.
 
mwaJ hata sula yako inathibitisha kwamba unastahili kuamkia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom