ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
hata wewe mtani.....teh teh...hata mimi mtani!
acha longolongo..... lete cheti......Hope you will my daughter,
Pata kwanza hao akina dada na kaka
mwishoni utakuwa binti yangu ya hiari kama utaipenda
familia yangu ya kima cha chini.
ha haa mtani hata wewe uliingia chaka kwenye FP?Wengine tuna disputed birth certificate kama ya Obama.
Halafu hii ID ya Fixed Point kama vile ilikuwepo enzi za zilipendwa ikaingia mitini halafu imeibuka tena?
Sikujua kama Fixed Point ndiye FP. Labda muda umefika sasa niwaombe Mods wanibadilishie EMT iwe full?
Haya ngoja tuone nani yuko tayari kuwa "fixed" na wewe.
[video=youtube_share;JI-o25K6B-E]http://youtu.be/JI-o25K6B-E[/video]
ha haaaa, wale warembo wetu wanaweza kuwa pacha........Labda tuwe pacha kama wale warembo wetu waleeeee!
@MwanajamiiOne hujambo? Ok...nitwange shikamoo....
Then niache na Fixed Point...ni mdogo wangu kabisa....huna haja ya vigezo wala masharti...!
ha haaaa.... hao ndo dada wakubwa wako?
hapo aliyezidi saaana ana 35..... zaidi ya hapo hakuna.....
kama wanabisha walete vyeti vyao tumalizane
Sawa dada..
nilikuwa naisikiliza clip.......[video=youtube_share;JI-o25K6B-E]http://youtu.be/JI-o25K6B-E[/video]
ha haaa, you wish.....Hahahah huo wa 35 atakuwa Da Mdogo kwangu mamii................. am still standing on 38, no more no less
good girlSawa dada..
Rafiki mie nitakupitishia gunia la shikamoo nitakapopita weekend hii. Utakuwa unachukua shikamoo hata kumi kwa siku ni pumzi yako tu 🙂🙂 kwa jinsi unavyopenda shikamoo sijui hata kama gunia litamaliza week lol! 🙂 🙂 . Wakishapatikana hao akina kaka/dada nipitishie majina yao nione kama wanastahili kupewa heshima hiyo 🙂🙂 Msikilize Massari.
Shika......hahahahaha lol! utajijuuuuu 🙂🙂
Rafiki mie nitakupitishia gunia la shikamoo nitakapopita weekend hii. Utakuwa unachukua shikamoo hata kumi kwa siku ni pumzi yako tu 🙂🙂 kwa jinsi unavyopenda shikamoo sijui hata kama gunia litamaliza week lol! 🙂 🙂 . Wakishapatikana hao akina kaka/dada nipitishie majina yao nione kama wanastahili kupewa heshima hiyo 🙂🙂 Msikilize Massari.
Leo mie sina nguvu ya kubishana. Ila nilitoa pendekezo sijui umeliona?ha haaa, ndo maana yake......
si unamwona hashim nani yule wa basket ball?
unaingia kwake?
Hahaha yaani naisubiria kwa hamu hiyo siku utakapothibitisha nisemayo, majicho yatakutokaje sasa? Utazirudisha mwenyewe bila kupenda. We haya weeha haaa, you wish.....
utafika tu..... miaka yakimbia sana