Natafuta kaka/dada

Natafuta kaka/dada

jamani MwanajamiiOne, KOKUTONA na mwaJ nyie msamiati wa imani umewapita pembeni?
kwa nini hamtaki kuniamini dada mkubwa?
cheti kitawasaidia nini?
mridhike tu kuwa mimi ni mkubwa wenu.......
MwaJ hata lile ombi lako la upacha sitakukubalia kama unakuwa king'ang'anizi, lol!
 
Last edited by a moderator:

Hahhahaa sasa watakosa vingi naona wakiendelea kuhitaji cheti chako.
 
Sasa hapo umekosea kwa mimi kua mdogo wako hapana mimi nimekuzidi mkubwa mwenzangu lol.

Hahahaaa............Da Mkubwa Ablessed.......kubali tu kuwa we ni mdogo kwa Da Mkubwa Fixed Point.........................( Hapa nachonganisha hadi basi)............unaona wewe Da Kubwa Ablessed unajua Da Fixed Point amekuzidi sana yaani humfikii hata kidogo, yaaniw e ni kama punje ya haradani, yaani ngoja tu nikalale
 
Last edited by a moderator:
Mimi na wewe Fixed Point twaweza itana pacha lkn mimi kua mdogo hapana tena pacha wenyewe ni kwa njia ya operation yaani wote tumetoka wakati mmoja. Vinginevyo wewe ni mdogo wangu unajua fuata imani uliyoanza nayo kama nilivyowashauri wengine waamini tu kua wewe ni dada yao. Si unajua vyeti ni makaratasi tu ndio maana hata sisisitizi kukiona . Mtu aweza kukupa cheti kinachoonyesha ana 50 kumbe ana 35. Nakumbuka mama flani wa kipakistani aliniambia kua passport yake inaonyesha ana 38 lkn umri wake halisi ana 53 na kweli ukimtizama huwezi kukubaliana na umri wa kwenye karatasi.
 
Last edited by a moderator:
Ili asikuchanganye na hayo mambo yake ya kulilia shikamoo, bora uwe best friend tu, ukishindwa hapo bora akuite shemeji mkubwa kwa sababu kishamuweka AshaDii kwenye kundi la madada kutokana na michango yake.

You are very intelligent....ndo maana u msiri wangu mwaJ.....sasa Fixed Point wewe u rafiki na shemeji yangu...yaani shemeji halafu best friend.....patamu....
 
Last edited by a moderator:
Mimi na wewe Fixed Point twaweza itana pacha lkn mimi kua mdogo hapana tena pacha wenyewe ni kwa njia ya operation yaani wote tumetoka wakati mmoja. Vinginevyo wewe ni mdogo wangu unajua fuata imani uliyoanza nayo kama nilivyowashauri wengine waamini tu kua wewe ni dada yao. Si unajua vyeti ni makaratasi tu ndio maana hata sisisitizi kukiona . Mtu aweza kukupa cheti kinachoonyesha ana 50 kumbe ana 35. Nakumbuka mama flani wa kipakistani aliniambia kua passport yake inaonyesha ana 38 lkn umri wake halisi ana 53 na kweli ukimtizama huwezi kukubaliana na umri wa kwenye karatasi.
hapa nakubali pacha, lol!
naogopaje kesi sasa? after kunitetea kote huku?
 
You are very intelligent....ndo maana u msiri wangu mwaJ.....sasa @fixed poing wewe u rafiki na shemeji yangu...yaani shemeji halafu best friend.....patamu....
ha haaa, hapa wasipite wake zako wote wawili, ntapona kweli?
 
You are very intelligent....ndo maana u msiri wangu mwaJ.....sasa @fixed poing wewe u rafiki na shemeji yangu...yaani shemeji halafu best friend.....patamu....

Hapa ndo utata unapokuja , ukimruhusu Kaizer kuwa bestb friend wako basi name natoka kwenye udogo naingia kwenye ubest friend...........nimegundua ukaidi mtamu
 
Last edited by a moderator:
hapa nakubali pacha, lol!
naogopaje kesi sasa? after kunitetea kote huku?
Afadhari kama umeliona hilo pacha wangu. Najua unakwepa kuniita dada kwa sababu ya shikamoo na hasa kwa ile aleji yako hata hivyo si mbaya tukiwa pacha hakuna shida.
 
Back
Top Bottom