Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,235
- 13,539
SHKAMOO mume wangu!!
Wewe mtundu sana mke wangu. Umesahau unaniitaga bebii?
SHKAMOO mume wangu!!
Wewe mtundu sana mke wangu. Umesahau unaniitaga bebii?
ha haa, wewe sina shaka ni mdogo wangu.....
si umeona nimekuweka kwenye group la wadogo zangu bila hata kufikiria?
nakuaminia.......Nipo nae mimi!!
Marahabaaaaa, hujambo mdogo wangu?Tanteeee.... shikamoo dada mkubwa!
karibu dada Zainab...Mie Dada Ako Mpya
Siku hizi wamekuwa wachache nisipong'ang'ania ntaumbuka mienakuaminia.......
shikilia mdogo wangu, lol!
marahaba mdogo wangu na wote uliowaalika waamkie natanguliza marahaba. Asante sana kwani umekua mpole ghafla hii inapendeza sana.
daah.... Kweli ngoja tu niwape heshima zenu..!!!!!!
Shkamoo dada fixed point
shkamoo dada mwanajamiione
shkamoo dada ablessed
cc: queen kan na evelyn salt hebu njooni muwasalimie wakubwa zetu lol!!
Marahaba mdogo wangushkamoo dada
meshawaamkia menzio!! Uwe mwangalifu humu best, mwenzio nilikutana na babu yangu! Lol!
hahahaaa mimi kuna baba zangu wadogo humu nnawachoraje???
umeona ee!! Hapa mwendo wa kuwapiga chabo!! Msalmie mumeo
ha haa, sidanganyiki mdogo wangu, vigezo na masharti kuzingatiwa.... birth certificate please......
karibu sana mtanimtani Fixed Point.... na mie naweza kuwa kaka yako? ila labda ubadili kabila kwanza