Natafuta kaka/dada

Natafuta kaka/dada

Hahaha dada Fixed Point, hilo ni kweli kabisa, nikiendaga kwa wakina wife Preta, mi nalamba shikamoo tu hata kwa vibibi, mara ya kwanza ilikuwa karaha kwangu, but siku hizi nshazoea, at dada nijulishe nini kinaendelea kati ya Nicas Mtei na snowhite ?
ha haaa, pesa zinasema, lol!
hao bana ni mtu na shem wake..... kwani wewe hukulijua hilo kaka?
 
Unaona umeanza kupokea misalamu kweli wakati mwingine lazima uipiganie haki yako maana haki zingine haziji kwa miujiza ni mpaka utoke ,ubishe na utafute. Hongera sana naona kimeeleweka isipokua Lady doctor bado ana mashaka hebu mtoe wasiwasi naona nae karibu anataka kuiachia .
watoto wa siku hizi wabishi sana kuamkia, usipoipigania inakula kwako
 
ha haaa, pesa zinasema, lol!
hao bana ni mtu na shem wake..... kwani wewe hukulijua hilo kaka?

Fafanua dada nani kaoa/kaolewa na nani? Kama ni mgegedo, hapana hawastahili kuitana shemeji, wanachafua hali ya hewa kwa mashemeji wa kweli kama mimi na saudari
 
Last edited by a moderator:
watoto wa siku hizi wabishi sana kuamkia, usipoipigania inakula kwako
Ni kweli mkuu tena wakishakua na umbo kukuzidi ee bwana ee hudhani mnalingana. Nakumbuka mtoto flani nilimtoa nduki mtaani kwetu alikua mgeni na mtaa ule sasa bwana umbo langu haliendani na umri wangu si akadhani mimi ni dot com na mdogo wangu alikua na umbo kubwa akadhani yule ndio mama mwenye nyumba. Ilibidi nimualike nyumbani kwangu siku ya weekend nikiwa na familia yangu yote na kumtambulisha kwa wanangu kua huyu nae ni kaka yenu tokea siku hiyo ana adabu sana.
 
mwambie huyo... asilete longolongo
Naona anaipotezea mkuu huyu. Pengine nae ana aleji ya salamu hii si atumie tu neno hili "heshima yako mkuu" maana wengi hutumia hii kama wakiona hawapendi kusema shikaoo.
 
Naona anaipotezea mkuu huyu. Pengine nae ana aleji ya salamu hii si atumie tu neno hili "heshima yako mkuu" maana wengi hutumia hii kama wakiona hawapendi kusema shikaoo.
hilo la heshima yako mkuu silitaki, aamkie tu...
cc. BAK
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Nakupendaje mdogo wangu. Fixed Point karibu kwenye udada huu jamani.
huo mbona nilishajiunga zamani mdogo wangu!
nashangaa tu siku hizi kimyaaaaaaaaaaaaaa........................ lol!
mwambie na mdogo wangu mwingine kipenzi Arabela ana wajibu wa kumsalimia dada mkubwa.... nasubiri salamu zake nje ya cc
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom