Natafuta kaka/dada

Natafuta kaka/dada

Mkoloni kanibanaajeee...ila i will be available soon.

But i do remember u always...especially in my prayers.

Mdogo wangu Arabela dada yetu anakuita mpigie simu ana la kukawambia. Umesikia eeh mdogo wangu.

sis KOKUTONA tumepata dada now. Ntampigia anipe busara zake... Sis Fixed Point nakupenda sana
 
Last edited by a moderator:
Yaani babu twakomajee? huyu dada yetu Fixed Point ana mkwaraa.

Yaani tunatoa shkamoo kama dosi......nna was was nawewe utaambiwa AMKIAA....si umeonaaa amesema VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA.

Ila mimi nimesalimu amri....maana ni dada yangu kabisaaa....sasa kwako sijui itakuwaje.

Sitaki hata kuwa shahidi.
ha haa, hujambo mdogo wangu?
bora usitake ushahidi, maana ni majanga
 
Fixed Point shikamo
igweeeeeeeeeee
nimechelewa kufungua lisredi kama hujapata mdogo niambie nimwage wasifu wangu
marahabaaaaa mdogo wangu....
sikuwa natafuta mdogo.....
wadogo zangu mpo kibao humu na mnajulikana, wala huhitaji kumwaga wasifu mdogo wangu hii ni automatic
 
aiseee mi ngonja ni kuweke hapa.............
 
asante mdogo wangu.... I need it....
maana huko tunakoelekea sioni uelekeo wa kupata dada/kaka humu... wote madogo, lol!

binamu shaka ondoa....ukitaka kudeka hapa kuwa huru tu.... unaweza kupata hao makaka aua wadada lakini ukakuta magalasa.... binamu
 
hahahhaah! mwali mie nimekwambia ukweli usiopingika kabisa.
na tatizo langu ni moja huwaga sisemi uongo hasa kwenye vitu siriaz. Mamndenyi halina ubishi kabisa kwamba she ia elder than anybody among the mentioned one. i did respect you Mamndenyi. Wewe ni mama kwangu. mwaJ na mimi hilo nakuachia wewe uamue
kwa Dark City, CHUAKACHARA, Asprin na Superman hawa nakwambia huwakuti kiumri wa kuzaliwa. naweza guess wamezaliwa late 60"s.

kidogo wewe waweza kuwa umelingana umri na Maxence Melo, Liverpool fc, Kaunga (u cant deny it), paka jimmy
Nikome nakwambia nikome!! late sixties mi nlikuwa mwalimu Minaki Sekondari. Ukiendelea kunifananisha na hawa vijana wa TANU ntakucharaza bakora!!
 
Back
Top Bottom