Natafuta kaka/dada

Natafuta kaka/dada

Gari ya Babu au yangu hiyo? Niliinunua brand new nilipokuwa nafanya Masters yangu Japan miaka ya mwanzoni miaka 1970s. Nakubuka nilikuwa na miaka kama 28 tuu enzi hizo. Wacha kabisa.
ha haa miaka ya 70 masters utambe?
labda ndo ulikuwa unazaliwa.....
 
Nilijuw kuwa mwisho wake supu itaogeshwa maji ya kisima.

Bora ungetusikiliza....

Nasubirii haki yangu sasa....lol!!

Babu DC!!
teh teh tehhhhhh, ulikuwa unasubiri kwa haaamu haya yanikute....
haya, tunamalizana hivi..... gfsonwin anahisi unaweza kuwa mkubwa.....
umepita kwenye first round..... second round ukipita ndo nitatangaza ukaka..... sawa?
 
Last edited by a moderator:
Kama huu umri ni wa ukweli inabidi tu nami unipe tu shikamoo yangu.
ha haaa, bora umekuja dada mkubwa mwenzangu... humu madogo wanasumbua sana....
umemsoma mwaJ?
 
Last edited by a moderator:
pamoja na kuwa naupenda sana udada mkubwa lakini na mimi nahitaji kuwa na dada ambaye angalau naweza kudeka ninapoamua kuwa mvivu kufikiria...... awe ananitafunia na kuniambia cha kufanya..... akina Mamndenyi, AshaDii, nyumba kubwa, Ablessed, Kongosho?????, Nyamayao ....... yaani nyie nawahisihisi tu kutokana na michango yenu..... mpaka mtakaposubmit vyeti vyenu ndo nitaamini......
hii inawahusu wootee wanaofaa kuwa kaka/dada zangu
narudia tena, vigezo na masharti kuzingatiwa........:help:
Hahahahahaahah yaani umenichekesha we acha tu wenzio hawataki kukua wewe unataka ukubwa. Sasa Fixed Point umri wako sie wengine tutauthibishaje bwana. Unajua ni vizuri ufuate hisia zako yaani ulivyohisi ni hivyo hivyo hasa hawa uliowa-quote hapo juu. anza tu kuniita dada maana ukitaka kuthibisha kwa cheti cha kuzaliwa siku hizi bongo hAkuna kitu original , cheti chaweza kuchongwa tu my dear .
 
Last edited by a moderator:
msiri wangu mwaJ, unaweza kuniambia kuwa Fixed Point angependa hasa mi niwe nani maana naona hapa sandakalawe? of course kwa ruhusa yako...
Ili asikuchanganye na hayo mambo yake ya kulilia shikamoo, bora uwe best friend tu, ukishindwa hapo bora akuite shemeji mkubwa kwa sababu kishamuweka AshaDii kwenye kundi la madada kutokana na michango yake.
 
Last edited by a moderator:
Ili asikuchanganye na hayo mambo yake ya kulilia shikamoo, bora uwe best friend tu, ukishindwa hapo bora akuite shemeji mkubwa kwa sababu kishamuweka AshaDii kwenye kundi la madada kutokana na michango yake.
ha haaa, basi Ashadii nimemtoa, lol! ngashtuka,
hivi unajua hata mabest friend huwa nawalazimisha kuniamkia?
sijui nimelogwa na hiyo shikamoo
 
Hahahahahaahah yaani umenichekesha we acha tu wenzio hawataki kukua wewe unataka ukubwa. Sasa Fixed Point umri wako sie wengine tutauthibishaje bwana. Unajua ni vizuri ufuate hisia zako yaani ulivyohisi ni hivyo hivyo hasa hawa uliowa-quote hapo juu. anza tu kuniita dada maana ukitaka kuthibisha kwa cheti cha kuzaliwa siku hizi bongo hAkuna kitu original , cheti chaweza kuchongwa tu my dear .
ha haaa, asante kwa kuni-warn.... najua kuhusu kuchonga vyeti, EMT alishaleta chake fake hapa nikamtimua nacho.
ila kati ya hao niliowataja, labda wewe na Mamndenyi naweza kuwafikiria kuwaita dada, ila msiniombe shikamoo maana nina allergy ya kuitoa, napokea tu
 
Last edited by a moderator:
Fixed Point asikwambie mtu kua na dada au kaka ni raha sana nahisi unakua na wa kukutetea wakati wote na unajisikia una ulinzi wa nguvu.
 
Last edited by a moderator:
Fixed Point asikwambie mtu kua na dada au kaka ni raha sana nahisi unakua na wa kukutetea wakati wote na unajisikia una ulinzi wa nguvu.
ndo maana mimi nimeamua kutafuta hapa rafiki, nahisi raha yake ingawa mimi sijawahi kui-experience.......
 
Back
Top Bottom