Natafuta kaka/dada

Natafuta kaka/dada

wewe ndo umeharibu maana nzima ya huu uzi....
hivi Mod wa huku ni nani aufunge? sitaruhusu mchango zaidi ya huu wangu......
unafikiri kuamkia watu kunanoga?
mimi nilitaka watu wooote humu ndani waniamkie, sasa sijui umefanya nini?
ningekuwa na fweza ningefufua ile hoja ya EMT ya kwamba ukiwa na fweza unaamkiwa hata na wakubwa, sasa fweza nehi....
Mod mi naomba huu uzi ufungwe tafadhali

hahahahahah!!! sasa mbona umetishika hivyo ilihali hao wote ni wadogo kwako???
mm nimekutania ili kujua umesimamia wapi kumbe basi huna ukubwa wote mnake hao wote niliokutajia ni wadogo kwangu...................seriously.
 
mdogo wangu.... mimi sijakataa kuwa EMT ni kaka yako..... hilo nalikubali kabisaaaaaa, tena umefanya vizuri kumwamkia, ila mimi ninachokataa ni kuwa kaka yangu

Ushahidi wangu uko wazi. I wish wakati ule kulikuwa na fideo ningeiweka hapa kabisa
 
unafikiri nakubali kirahisi babu?
labda gfsonwin aje anithibitishie..... yeye namwamini.....
ila hala hala gfsonwin, usipoteze huu uaminifu niliokupa, ole wako upokee rushwa kwa babu....
cc. EMT... wewe nawe nitakubali tu hicho cheti ni cha kweli kama Paw akija kuthibitisha pamoja na King'asti akiwa shahidi, otherwise evidence out....

Udhahidi wa King'asti utakuwa ni hearsay tuu ambao haukubaliki mahakamani.
 
Last edited by a moderator:
wewe ndo umeharibu maana nzima ya huu uzi....
hivi Mod wa huku ni nani aufunge? sitaruhusu mchango zaidi ya huu wangu......
unafikiri kuamkia watu kunanoga?
mimi nilitaka watu wooote humu ndani waniamkie, sasa sijui umefanya nini?
ningekuwa na fweza ningefufua ile hoja ya EMT ya kwamba ukiwa na fweza unaamkiwa hata na wakubwa, sasa fweza nehi....
Mod mi naomba huu uzi ufungwe tafadhali

Nilijuw kuwa mwisho wake supu itaogeshwa maji ya kisima.

Bora ungetusikiliza....

Nasubirii haki yangu sasa....lol!!

Babu DC!!
 
hahahahahah!!! sasa mbona umetishika hivyo ilihali hao wote ni wadogo kwako???
mm nimekutania ili kujua umesimamia wapi kumbe basi huna ukubwa wote mnake hao wote niliokutajia ni wadogo kwangu...................seriously.
rafiki nimekununia ujue.....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom