Natafuta kaka/dada

Natafuta kaka/dada

Umoena na wewe teacher eti......

Huyu kafualu lile some tishio ndo maana anataka kila mtu mjini ajue kwamba yupo..lol!!

Haya basi, mwambie apige shikamoo kwa kakake..!

Babu DC!!

hivi babu hujamgundua huyu??
lakini sasa ngoja kwanza nianze kumuuliza hivi mpaka sasa hivi ameshapata watu wangapi ndio makaka na madada??
 
shoga yangu Fixed Point nikwambie pa kwenda kumwona huyu anayejiita babu??
halafu mwenyewe utasema anastahili shkamoo ama hastahili??
manake hapa naona kaja na gia ya uchokonozi kwangu.
he he heeeee, ndo nnachokupendea rafiki yangu gfsonwin..... huwa humung'unyi.....
I know I can always count on you..... huwezi kuniangusha....
baba Dark City umeisoma hii?
Asante sana rafiki
 
Last edited by a moderator:
shoga yangu Fixed Point nikwambie pa kwenda kumwona huyu anayejiita babu??
halafu mwenyewe utasema anastahili shkamoo ama hastahili??
manake hapa naona kaja na gia ya uchokonozi kwangu.

Mbona husomeki teacher??

Au umemfukuza mwanafunzi arudi class??

Nadhani leo umsamehe kwani ukimwaga ushahidi thread itafungwa kabla hajamaliza 5min break..lol!!

Babu DC!!
 
Mbona husomeki teacher??

Au umemfukuza mwanafunzi arudi class??

Nadhani leo umsamehe kwani ukimwaga ushahidi thread itafungwa kabla hajamaliza 5min break..lol!!

Babu DC!!
ha haaaa, asomeke vipi tena? kwani mawani yako yamekuwa ya mbao ghafla kiasi kwamba huyaoni maandishi yake.....
kwa lugha nyepesi amekukana, lol!
sijui nikuambie uanze kuamkia hapa hadharani au nikuambilie chumbani, lol!:tape:
 
Hao watoto achana nao....

Natamani kumwambia teacher akusamehe...au wewe unaonaje??

Babu DC!!
too late.....
ameshasema yake ya moyoni.....
si unajua uongo dhambi? rafiki yangu hasemagi kabisa uongo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hivi babu hujamgundua huyu??
lakini sasa ngoja kwanza nianze kumuuliza hivi mpaka sasa hivi ameshapata watu wangapi ndio makaka na madada??
ukweli rafiki mpaka sasa sijapata....
kila anayekuja ni mdogo wangu.
hili zoezi naona hata halitafanikiwa. labda nifumbe tu macho na kuchagua hata mdogo mmoja awe kaka/dada?
 
ukweli rafiki mpaka sasa sijapata....
kila anayekuja ni mdogo wangu.
hili zoezi naona hata halitafanikiwa. labda nifumbe tu macho na kuchagua hata mdogo mmoja awe kaka/dada?

hahahahhahahah!!!!!!!!!!
umenichekesha sana haya ngoja nikusubirie nione.
 
Mbona husomeki teacher??

Au umemfukuza mwanafunzi arudi class??

Nadhani leo umsamehe kwani ukimwaga ushahidi thread itafungwa kabla hajamaliza 5min break..lol!!

Babu DC!!
babu noamba nimpe evidence khaaa!!!
manake nataka sasa kuukata huu mzizi wa fitina.
manake naona hiki cheo cha ukubwa watu wanataka kunyang'anya wenzao
 
ha haaaa, asomeke vipi tena? kwani mawani yako yamekuwa ya mbao ghafla kiasi kwamba huyaoni maandishi yake.....
kwa lugha nyepesi amekukana, lol!
sijui nikuambie uanze kuamkia hapa hadharani au nikuambilie chumbani, lol!:tape:
hiiv kwani wewe umri unauhesabu kwa miaka ya kusoma ama miaka ya kuzaliwa ama miaka ya kuzaaa??

kama ni kwa miaka ya kuzaa basi wewe na mwaJ mko age mate, ila wewe na mimi mimi mkubwa, kama ni kwa miaka ya kusoma basi wewe hata kwa Asprin ama CHUAKACHARA ni mkubwa na kama ni kwa miaka ya kuzaliwa basi nakuambia wazi Dark City, CHUAKACHARA, Mamndenyi hao ni wakubwa kwako.

nimenawa mikono kama pilato!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
babu noamba nimpe evidence khaaa!!!
manake nataka sasa kuukata huu mzizi wa fitina.
manake naona hiki cheo cha ukubwa watu wanataka kunyang'anya wenzao
akirudi hapa utaniambia....
huyo ndo keshasepa hivyo.... unafikiri kutoa evidence mchezo?
 
hiiv kwani wewe umri unauhesabu kwa miaka ya kusoma ama miaka ya kuzaliwa ama miaka ya kuzaaa??

kama ni kwa miaka ya kuzaa basi wewe na mwaJ mko age mate, ila wewe na mimi mimi mkubwa, kama ni kwa miaka ya kusoma basi wewe hata kwa Asprin ama chuachakara ni mkubwa na kama ni kwa miaka ya kuzaliwa basi nakuambia wazi Dark City, chuachakara, Mamndeny hao ni wakubwa kwako.

nimenawa mikono kama pilato!!!!!!!!!
mmmhhhh! hapa nina wasiwasi kidogo.... hii kona ya ghafla ni hivi hivi tu au kuna catalyst?
wewe na mwaJ naomba tu tuheshimiane..... muendelee kukubali kuwa mimi ni dada yenu..... (kama namwona Mwaj) Mamndenyiiiiiiii, nitamfikiria.......
hapo kwa Dark City na huyo mwingine sijampata itabidi tuangalie upya
 
hahahhaah! mwali mie nimekwambia ukweli usiopingika kabisa.
na tatizo langu ni moja huwaga sisemi uongo hasa kwenye vitu siriaz. Mamndenyi halina ubishi kabisa kwamba she ia elder than anybody among the mentioned one. i did respect you Mamndenyi. Wewe ni mama kwangu. mwaJ na mimi hilo nakuachia wewe uamue
kwa Dark City, CHUAKACHARA, Asprin na Superman hawa nakwambia huwakuti kiumri wa kuzaliwa. naweza guess wamezaliwa late 60"s.

kidogo wewe waweza kuwa umelingana umri na Maxence Melo, Liverpool fc, Kaunga (u cant deny it), paka jimmy
 
Last edited by a moderator:
ha haaaaa, umeona eeh!
yeye mwenyewe Mwanajamiione alikuja kifua mbele akagonga mwamba, sasa huyu sijui ni classmate wa snowhite, lol!

Lkn FP ukubwa si miaka tele, wengine sie wadogo lkn tushakomaa akili. Na kulea pia twaweza. Utaenjoy nakwambia.
 
Last edited by a moderator:
hahahhaah! mwali mie nimekwambia ukweli usiopingika kabisa.
na tatizo langu ni moja huwaga sisemi uongo hasa kwenye vitu siriaz. Mamndenyi halina ubishi kabisa kwamba she ia elder than anybody among the mentioned one. i did respect you Mamndenyi. Wewe ni mama kwangu. mwaJ na mimi hilo nakuachia wewe uamue
kwa Dark City, CHUAKACHARA, Asprin na Superman hawa nakwambia huwakuti kiumri wa kuzaliwa. naweza guess wamezaliwa late 60"s.

kidogo wewe waweza kuwa umelingana umri na Maxence Melo, Liverpool fc, Kaunga (u cant deny it), paka jimmy
wewe ndo umeharibu maana nzima ya huu uzi....
hivi Mod wa huku ni nani aufunge? sitaruhusu mchango zaidi ya huu wangu......
unafikiri kuamkia watu kunanoga?
mimi nilitaka watu wooote humu ndani waniamkie, sasa sijui umefanya nini?
ningekuwa na fweza ningefufua ile hoja ya EMT ya kwamba ukiwa na fweza unaamkiwa hata na wakubwa, sasa fweza nehi....
Mod mi naomba huu uzi ufungwe tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom