Mkuu labda kwa faida ya wengi;asante sana Mkuu, natafuta jina ambalo mteja akiliona tu anakumbuka kitu kuhusu gali lake au chombo chake na pia kuona kituo chetu ndio soluhisho la tatizo lake.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wewe mkorofi sana mkuuSIJARIBIWI OIL STATION
Jackson Benedicto Nyamsusa
weacha kwenda mbali ita "MAGU OIL STATION" / "MAGU PETRO STATION"
hilo Lina sound good
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Tumia "JB filling/fuel stationJackson Benedicto Nyamsusa
yamekaa kibolingo sana haya
Haya majina, huenda karibu yote ukakuta yametumika.. yako common sana.. hilo la kwanza ni mbona kituo n kikubwa sana hicho cha wese.. moja ya vituo vikubwa sana vya mafuta hapa mjini, hawelag pump mbili sijui tatu.. utakuta 6 na kuendeleaVictoria petrol station
Tanganyika petrol station
Sato petrol station
Pure oil petrol station
Gulf petrol station
Stone petrol station (stone city)
high land petrol station
one petrol station
Majina yako poa.. ila haya nadhan yanafaa kwa lubricants zile.. [emoji846][emoji846] hebu wasiliana na watu wa TPDC wale upige pesa mkuuTuendelee,
MyOil, OilZone, OilPoa
Magu PetroWadau habarini.
Ninatarajia kufungua Kituo Cha Mafuta, awali nililipenda jina la kituo liwe OTTO OIL Service Station. Nimeangalia BRELA jina hili limeshatumiwa.
Nililipenda jina hilo la OTTO kwa sababu linashabihana sana na neno Auto, pia ni jepesi kulitamka na kulikariri pia. Pia herufi zake ni nyepesi na zinaonekana vizuri.
Nimejaribu kutafuta jina jingine lenye sifa kama nilivyotaja hapo juu bado sijapata, nimegoogle pia bado sijapat Idea nyingine.
Najua hapa ni kwa GT naweza pata Ideas ya jina la kituo cha mafuta yaani Fuel Station.
Atakefanikisha upatikanaji wa jina lenye sifa nilizotaja nitamzawadia kwa Ubunifu wake.
Natanguliza Shukrani zangu kwa yeyote atakaejishughulisha na hili.
Pentagon petro stationyamekaa kibolingo sana haya