Natafuta hata boyfriend tu jamani upweke unaniuaa

Mbona matangazo yenu yanamapungufu sana picha mbona hamuweki
weka picha tukuone ulivyo wengine wanakuwaga mazombi
Jamani natafuta boyfriend ila awe serious maana huu upweke sasa unaelekea kuniua... Mchumba niliekuwa nae kapata ajali mwaka jana ikiyopoteza maishaa yake... Ni mwaka sasa umepita nadhani nahitaji kurudi sawa..
 
Pole sana kwa kumpoteza mchumba wako.Nikutakie kila la kheri katika kumpata mwingine
 
I love you baby.
Itakuwa ushapata jibu hapo nakusubir tu ujisogeze nikuburudishe maana mi mgonjwa mwenzako wa
U = Upungufu
BU=Burudani
MWI=Mwilini
 
wale waliokuwa wanatafuta mchumba mtoto ndo huyo kajileta changamkieni tenda kazi kwenu...........
 
Jamani natafuta boyfriend ila awe serious maana huu upweke sasa unaelekea kuniua... Mchumba niliekuwa nae kapata ajali mwaka jana ikiyopoteza maishaa yake... Ni mwaka sasa umepita nadhani nahitaji kurudi sawa..
Tatizo ni kupata mtu serious hapa JamiiForums, kama watu wana-cheat hata majina yao tu!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom