Makosa niliofanya mwaka 2023 ambayo nisingeomba yajirudie mwaka 2024 ni haya hapa...

incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
2,229
3,525
Habari wakuu, ni matumaini hamjambo tumshukuru mwenyezimungu kwa nafasi hii ya kuuona mwaka Mpya 2024.

Yote kwa yote Mwaka 2023 kwangu ulikuwa mwaka wa kawaida sana nimepitia changamoto kadha wa kadha ma mafanikio kadha wa kadha hivyo sina sababu ya kuulaumu sana lakini pia sina sababu ya kuufurahia sana maana kuna vimakosa nilifanya ambavyo hadi sasa nahisi vinaendelea kunighalimi kiasi.

1. Kukopa mkopo bank. Mwaka jana nilikutana na vichangamoto vya hapa na pale katika biashara zangu, ila nilikosa msaada kabisa lakini katika kufikiria nikaona ni bora nichukue mkopo bank nijiboost kiasi ili biashara ikae sawa,

Ila changamoto nimechukua mkopo hadi sasa nimebahatika kurejesha miezi minne tu, nje ya miezi 12 nilitakiwa kurejesha, ila changamoto hadi hapa naona biashara bado inasuasua kiasi kwamba naona kabisa kwamba naweza kumaliza mkopo na biashara ikawa imerudi palepale ilipokuwa mwanzo, maana baada ya mkopo bank nadhani na nashetani aliibukia hapohapo nimeanza kukutana na changamoto nyingi sana hadi sasa, kuna mda inafika tarehe ya makato unakuta bado kiwango hakijatimia inabid nikimalizie siku mbele kadhaa, hii inaniweka roho juu sana.

2. Kushiriki Ibada za kishirikina na kiganga kwa kudhani ndio napata unafuu wa maisha ila kwa mtazamo wangu hakuna cha maana nilichoongezea zaidi ya kuweka usalama wangu rehani,

Katika Mapambano ya hapa na pale nikaona michongo haiendi na nikijiangalia familia inanitegemea na mtaa heshima unayonipa kiuhalisia ni tofauti na maisha yangu, yaani namaanisha ninaishi katika jamii inayonichukulia kama Tajiri au jamaa mwenye mafanikio makubwa ila kiuhalisia ninaoujua mimi ndani yangu najiona sina chochote zaidi ya sifa tu kwa watu wasiojua na face yapi katika harakati zangu,
Naishia kuvuna lawana kwa ndugu wanaohitaji msaada kwangu wakiamini nimewanyima kumbe sina chochote,

Hapa nikawaza kwenda kwa kaisali(maganga wa jadi) ili nipate unafuu wa maisha,

Ni stori ndefu kiasi nikipata mda nitasimulia ila kiufupi tu pamoja na kutumia galama ya kusafiri na mda wa kukaa kwa mganga wa kienyeji zaidi ya mwezi mmoja bila kuzalisha chochote nikiwa napigwa nyungu tu na kupitia mitihani na majaribu kibao, kupoteza pesa, na kuharibu mda wangu, Ila nilivyorudi kuingia ground hakuna chochote nimeona kimebadilika kwangu,

Kibaya zaidi nimejiongezea familia ya watu wanaonitegemea ni baada ya mganga kunigeuza kama mwanafamilia yake akikutwa na tatzo ananipigia simu na kuomba nimsaidie mda mwingine namsaidia kwa kuhofia anaweza kuniharibia zaidi maana nimeishi kwake mda mrefu na naamini kuna vitu vingi vya kwangu anavyo hivyo akiamua kunimaliza ni kitendo cha kugusa tu.

Kuna mda anaweza kusafiri kwa safari zake cha ajabu ananipigia sim yupo mjini na anahitaji aje kwangu hata bila taarifa na kama mnavyojua mjini kila kitu ni budget ila yy hajali anakuja anakaa na akiondoka anahitaji apewe nauli na kumfungashia kila kitu anachohitaji.

Kusema kweli mwaka 2024, naomba mungu aniongoze nimalize mkopo wa Bank, na pia nahitaji nifanye reformation ya maisha yangu niachane na huu utumwa wa huyu bibi liwalo na liwe.
Pia nahitaji nifocus na maisha yangu bila kutegemea mtu yeyote nimejiahidi kurudi kuwa bora kwa kila kitu kuanzia kipato hadi mindset,

USHAURU: Kama yupo anaejipanga kupitia katika njia hizi nilizopita mwaka 2023 namshauri asijaribu.
 
Ni hatari ila naamini nitaumaliza ila ni msoto sana, unafanya biasbara nusu ya mauzo unarejesha
Hio ipo, mimi ilishanikuta hio, yaani ukiangalia duka unajiuliza mbona bidhaa ni chache kuliko pesa ninayotakiwa kurudisha na hata sijafuja pesa?
Ikabidi nifunge Duka halafu nilipe pesa kwa mishe za nje...,
Ndio nikapata fundisho, mkopo ni wa kujazia tuu,

BTW bidhaa zikiwa dukani huo ukiangalia unaweza uone ni kimtaji kidogo ila ukakaa ukapiga hesabu za kila kitu unajua una pesa nzuri tuu,
Mimi nilitaka niuze duka, nikajisemea ngoja nijaribu kupiga hesabu, daa yule jamaa angefaidi sana , ilikua discount ya maana sikuiona,
Mwenyewe alijuta maana alikua analia nimpunguzie.
 
Sahihi
 
Mwezi wa 1 hadi wa 8 mwaka jana, ni miezi ambayo mwanenu nilipitia msoto wa nguvu,yani kila kitu kilikuwa vuluvulu tu,kuanzia kwenye familia yangu (nakozaliwa) mpaka kwenye maisha yangu binafsi. Kama Ni simu hazikua zinaita yani ni mtu niliyekuwa kwenye msongo wa mawazo vibaa mno. Lakini MUNGU ni mwema bwana wakuu, katika pitapita zangu humu, nilikutana na uzi wa bwana " WALKER WATER" ambao kiukweli nilipoyafuata mafundisho yake, niliweza kumwona BWANA kwa uharaka tofauti na nilivyotarajia...maombi yangu kwake ni kwamba anijaarie nimjue zaidi ili amani yake iliyotimilifu iwe ndani yangu mwaka huu. AMINA!!
 
Mwezi wa 1 hadi wa 8 mwaka jana, ni miezi ambayo mwanenu nilipitia msoto wa nguvu,yani kila kitu kilikuwa vuluvulu tu,kuanzia kwenye familia yangu (nakozaliwa) mpaka kwenye maisha yangu binafsi. Kama Ni simu hazikua zinaita yani ni mtu niliyekuwa kwenye msongo wa mawazo vibaa mno. Lakini MUNGU ni mwema bwana wakuu, katika pitapita zangu humu, nilikutana na uzi wa bwana "WATER WALKER" ambao kiukweli nilipoyafuata mafundisho yake, niliweza kumwona BWANA kwa uharaka tofauti na nilivyotarajia...maombi yangu kwake ni kwamba anijaarie nimjue zaidi ili amani yake iliyotimilifu iwe ndani yangu mwaka huu. AMINA!!
Ndo ulkuwa unahusu nini mkuu
 
Habari wakuu, ni matumaini hamjambo tumshukuru mwenyezimungu kwa nafasi hii ya kuuona mwaka Mpya 2024.

Yote kwa yote Mwaka 2023 kwangu ulikuwa mwaka wa kawaida sana nimepitia changamoto kadha wa kadha ma mafanikio kadha wa kadha hivyo sina sababu ya kuulaumu sana lakini pia sina sababu ya kuufurahia sana maana kuna vimakosa nilifanya ambavyo hadi sasa nahisi vinaendelea kunighalimi kiasi.

1. Kukopa mkopo bank. Mwaka jana nilikutana na vichangamoto vya hapa na pale katika biashara zangu, ila nilikosa msaada kabisa lakini katika kufikiria nikaona ni bora nichukue mkopo bank nijiboost kiasi ili biashara ikae sawa,

Ila changamoto nimechukua mkopo hadi sasa nimebahatika kurejesha miezi minne tu, nje ya miezi 12 nilitakiwa kurejesha, ila changamoto hadi hapa naona biashara bado inasuasua kiasi kwamba naona kabisa kwamba naweza kumaliza mkopo na biashara ikawa imerudi palepale ilipokuwa mwanzo, maana baada ya mkopo bank nadhani na nashetani aliibukia hapohapo nimeanza kukutana na changamoto nyingi sana hadi sasa, kuna mda inafika tarehe ya makato unakuta bado kiwango hakijatimia inabid nikimalizie siku mbele kadhaa, hii inaniweka roho juu sana.

2. Kushiriki Ibada za kishirikina na kiganga kwa kudhani ndio napata unafuu wa maisha ila kwa mtazamo wangu hakuna cha maana nilichoongezea zaidi ya kuweka usalama wangu rehani,

Katika Mapambano ya hapa na pale nikaona michongo haiendi na nikijiangalia familia inanitegemea na mtaa heshima unayonipa kiuhalisia ni tofauti na maisha yangu, yaani namaanisha ninaishi katika jamii inayonichukulia kama Tajiri au jamaa mwenye mafanikio makubwa ila kiuhalisia ninaoujua mimi ndani yangu najiona sina chochote zaidi ya sifa tu kwa watu wasiojua na face yapi katika harakati zangu,
Naishia kuvuna lawana kwa ndugu wanaohitaji msaada kwangu wakiamini nimewanyima kumbe sina chochote,

Hapa nikawaza kwenda kwa kaisali(maganga wa jadi) ili nipate unafuu wa maisha,

Ni stori ndefu kiasi nikipata mda nitasimulia ila kiufupi tu pamoja na kutumia galama ya kusafiri na mda wa kukaa kwa mganga wa kienyeji zaidi ya mwezi mmoja bila kuzalisha chochote nikiwa napigwa nyungu tu na kupitia mitihani na majaribu kibao, kupoteza pesa, na kuharibu mda wangu, Ila nilivyorudi kuingia ground hakuna chochote nimeona kimebadilika kwangu,

Kibaya zaidi nimejiongezea familia ya watu wanaonitegemea ni baada ya mganga kunigeuza kama mwanafamilia yake akikutwa na tatzo ananipigia simu na kuomba nimsaidie mda mwingine namsaidia kwa kuhofia anaweza kuniharibia zaidi maana nimeishi kwake mda mrefu na naamini kuna vitu vingi vya kwangu anavyo hivyo akiamua kunimaliza ni kitendo cha kugusa tu.

Kuna mda anaweza kusafiri kwa safari zake cha ajabu ananipigia sim yupo mjini na anahitaji aje kwangu hata bila taarifa na kama mnavyojua mjini kila kitu ni budget ila yy hajali anakuja anakaa na akiondoka anahitaji apewe nauli na kumfungashia kila kitu anachohitaji.

Kusema kweli mwaka 2024, naomba mungu aniongoze nimalize mkopo wa Bank, na pia nahitaji nifanye reformation ya maisha yangu niachane na huu utumwa wa huyu bibi liwalo na liwe.
Pia nahitaji nifocus na maisha yangu bila kutegemea mtu yeyote nimejiahidi kurudi kuwa bora kwa kila kitu kuanzia kipato hadi mindset,

USHAURU: Kama yupo anaejipanga kupitia katika njia hizi nilizopita mwaka 2023 namshauri asijaribu.
Hukupiga punyeto?
 
Yeye mwenyewe alisema ni Mungu mwenye wivu kama sisi tunavyo ona wivu wake zake wakiwasikiliz watu wengine,sasa ogopa aone wivu kwako utajuta.

Ndyo mana nasema humu ndani tusiyatimbe once u obey,always depend on him.

Mkuu mikopo haina shida ila nmeona kuna elimu kubwa sana ya kuhusu kukopa.Sasa tumuombe Mungu wakati tunakopa matatzo yasije.
 
Nami naamin hivo mkuu
 
Habari wakuu, ni matumaini hamjambo tumshukuru mwenyezimungu kwa nafasi hii ya kuuona mwaka Mpya 2024.

Yote kwa yote Mwaka 2023 kwangu ulikuwa mwaka wa kawaida sana nimepitia changamoto kadha wa kadha ma mafanikio kadha wa kadha hivyo sina sababu ya kuulaumu sana lakini pia sina sababu ya kuufurahia sana maana kuna vimakosa nilifanya ambavyo hadi sasa nahisi vinaendelea kunighalimi kiasi.

1. Kukopa mkopo bank. Mwaka jana nilikutana na vichangamoto vya hapa na pale katika biashara zangu, ila nilikosa msaada kabisa lakini katika kufikiria nikaona ni bora nichukue mkopo bank nijiboost kiasi ili biashara ikae sawa,

Ila changamoto nimechukua mkopo hadi sasa nimebahatika kurejesha miezi minne tu, nje ya miezi 12 nilitakiwa kurejesha, ila changamoto hadi hapa naona biashara bado inasuasua kiasi kwamba naona kabisa kwamba naweza kumaliza mkopo na biashara ikawa imerudi palepale ilipokuwa mwanzo, maana baada ya mkopo bank nadhani na nashetani aliibukia hapohapo nimeanza kukutana na changamoto nyingi sana hadi sasa, kuna mda inafika tarehe ya makato unakuta bado kiwango hakijatimia inabid nikimalizie siku mbele kadhaa, hii inaniweka roho juu sana.

2. Kushiriki Ibada za kishirikina na kiganga kwa kudhani ndio napata unafuu wa maisha ila kwa mtazamo wangu hakuna cha maana nilichoongezea zaidi ya kuweka usalama wangu rehani,

Katika Mapambano ya hapa na pale nikaona michongo haiendi na nikijiangalia familia inanitegemea na mtaa heshima unayonipa kiuhalisia ni tofauti na maisha yangu, yaani namaanisha ninaishi katika jamii inayonichukulia kama Tajiri au jamaa mwenye mafanikio makubwa ila kiuhalisia ninaoujua mimi ndani yangu najiona sina chochote zaidi ya sifa tu kwa watu wasiojua na face yapi katika harakati zangu,
Naishia kuvuna lawana kwa ndugu wanaohitaji msaada kwangu wakiamini nimewanyima kumbe sina chochote,

Hapa nikawaza kwenda kwa kaisali(maganga wa jadi) ili nipate unafuu wa maisha,

Ni stori ndefu kiasi nikipata mda nitasimulia ila kiufupi tu pamoja na kutumia galama ya kusafiri na mda wa kukaa kwa mganga wa kienyeji zaidi ya mwezi mmoja bila kuzalisha chochote nikiwa napigwa nyungu tu na kupitia mitihani na majaribu kibao, kupoteza pesa, na kuharibu mda wangu, Ila nilivyorudi kuingia ground hakuna chochote nimeona kimebadilika kwangu,

Kibaya zaidi nimejiongezea familia ya watu wanaonitegemea ni baada ya mganga kunigeuza kama mwanafamilia yake akikutwa na tatzo ananipigia simu na kuomba nimsaidie mda mwingine namsaidia kwa kuhofia anaweza kuniharibia zaidi maana nimeishi kwake mda mrefu na naamini kuna vitu vingi vya kwangu anavyo hivyo akiamua kunimaliza ni kitendo cha kugusa tu.

Kuna mda anaweza kusafiri kwa safari zake cha ajabu ananipigia sim yupo mjini na anahitaji aje kwangu hata bila taarifa na kama mnavyojua mjini kila kitu ni budget ila yy hajali anakuja anakaa na akiondoka anahitaji apewe nauli na kumfungashia kila kitu anachohitaji.

Kusema kweli mwaka 2024, naomba mungu aniongoze nimalize mkopo wa Bank, na pia nahitaji nifanye reformation ya maisha yangu niachane na huu utumwa wa huyu bibi liwalo na liwe.
Pia nahitaji nifocus na maisha yangu bila kutegemea mtu yeyote nimejiahidi kurudi kuwa bora kwa kila kitu kuanzia kipato hadi mindset,

USHAURU: Kama yupo anaejipanga kupitia katika njia hizi nilizopita mwaka 2023 namshauri asijaribu.
Tatizo limeanzia hpo ulipoenda Kwa mganga,shetani hawezi kumsaidia mwanadamu never,haijawahi tokea
 
Hapo kwa mganga umenichekesha sana...pole sana sijui huwa mnafata nini...
 
Haukuomba ushauri, umetuelezea yaliyokukuta na usingependa yakurudie.

Mganga kashakutathmini kaona kama raia mtaani wanavyokuona(uwezo). Anakukwangua kwangua, utafilisika kabisa ukizubaa.

Mwambie ukweli mambo yako bado magumu, mpe zawadi tu ya urafiki wenu unaokupa mashaka, mwambie akuache upambane kwa njia nyingine mpaka utakapomaliza mkopo.

Rudi katika namba/takwimu za biashara yako kujua wastani wa mauzo yako kwa siku(saa ngapi unauza zaidi), miezi ipi unauza zaidi.

Chambua majina na mawasiliano ya wateja wako, wapigie mmoja mmoja kuwakumbusha upo na bidhaa au huduma zipo, jenga mahusiano ya kawaida nao usije pia ukajikuta kama unawashinikiza kuja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom