Natafuta hata boyfriend tu jamani upweke unaniuaa

Jamani natafuta boyfriend ila awe serious maana huu upweke sasa unaelekea kuniua... Mchumba niliekuwa nae kapata ajali mwaka jana ikiyopoteza maishaa yake... Ni mwaka sasa umepita nadhani nahitaji kurudi sawa..

Embu edit uondoe hii sehemu ya ajali na kufa (pole lakini).. itaongeza shamra
 
Wote mliobeza nawashukuru sana... Ila siku yakiwakuta ndio mtaelewa nilikuwa namaanisha nini......!
 
Wote mliobeza nawashukuru sana... Ila siku yakiwakuta ndio mtaelewa nilikuwa namaanisha nini......!

Pole sana dada tulio single ndio tunajua matatizo na machungu ya upweke
Hebu ni PM nikusaidie kukupunguzia upweke .....lollll!!!!!!
 
Jamani natafuta boyfriend ila awe serious maana huu upweke sasa unaelekea kuniua... Mchumba niliekuwa nae kapata ajali mwaka jana ikiyopoteza maishaa yake... Ni mwaka sasa umepita nadhani nahitaji kurudi sawa..
Hiyo ajali alipata ya nini vile? maana ajali nyingi siku hizi hata ngoma ujue ni ajali kazini pia...
 
jamani natafuta boyfriend ila awe serious maana huu upweke sasa unaelekea kuniua... Mchumba niliekuwa nae kapata ajali mwaka jana ikiyopoteza maishaa yake... Ni mwaka sasa umepita nadhani nahitaji kurudi sawa..

kwa maelezo yako inaonekana una hitaji ushauri wa kisaikolojia.
Nitaondoa maneno yangu kama nikipaswa.

Samahani lakini.
 
Jamani natafuta boyfriend ila awe serious maana huu upweke sasa unaelekea kuniua... Mchumba niliekuwa nae kapata ajali mwaka jana ikiyopoteza maishaa yake... Ni mwaka sasa umepita nadhani nahitaji kurudi sawa..

Utakuwa tayari kwenda Muhimbili?
 
Terimu

where are you living currently?

If you are asked to take critical medical check up, will you thumb up?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom