Natafuta Fundi wa LED Tv

Natafuta Fundi wa LED Tv

Duh hivi tv za lg zina shida, hii yangu inaonesha half screen. niliwapelekea mafundi kariakoo (LG authorized) wakatengeneza baada ya wiki imeridia hali ile ile
Hakikisha unaiwekea TV guard au stabilizer. Umeme ndio unaharibu hizi TV
 
Hakikisha unaiwekea TV guard au stabilizer. Umeme ndio unaharibu hizi TV
Nashukuru kwa ushauri, nakubaliana na wewe sehmu nililpokuwa naishi umeme ulikuwa mdogo na muda mwingi fluctuating, thanks
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom