Natafuta Fundi wa LED Tv

Natafuta Fundi wa LED Tv

Nimeenda kumuona huyu fundi, kaicheki kasema screen imeshakufa ni ya kubadilisha. Bei ya screen ni nusu ya Tv mpya kwahio naona bora ninunue ingine tu.
Angalia hiyo hiyo nusu inayoonekana vizuri.
 
Angalia hiyo hiyo nusu inayoonekana vizuri.
Kweli afanye hivyo kwani yangu ilikuwa kama yake lakini nikakomaa nayo kuiangalia mpaka mistari ikaondoka ingawa ilijiondoa kwenye mode ya 3D na kuwa ya kawaida.
 
Nimeenda kumuona huyu fundi, kaicheki kasema screen imeshakufa ni ya kubadilisha. Bei ya screen ni nusu ya Tv mpya kwahio naona bora ninunue ingine tu.
Tv ni screen so bei yake lazima ive zaidi ya nusu ya kununua tv. Kumbuka pia spear za vitu kama hiv ni bei mbya
 
Hivi ukichomeka USB Flash ukaangalia picha zilizomo ndani yake hiyo mistari inaonekana?
Media yoyote inaoneshwa na screen, mistari itaonekana tu. Nimeangalia hadi blu ray hali ni hio hio.
 
hata mie tv yangu samsung inaonyesha mistari kwa juu ukiiwasha mwanzon inakua clear kabisa afu baada ya dakika mbili hivi mistar inaanza kwa juu yaan humuoni mtu kuanzia nywele hadi macho fundi ameniambia ni kioo na kkoo vinauzwa laki3 na nusu na if undies ni elfu 30.
 
Vioo vinauzwa wapi? Hawa mafundi wameniona mimi wa kishua sijui? Wananiambia kioo 500,000-650,000.
 
Wapi unapatakinika? Lg yako ina guatantee? Kama ipo ya muda gani?
Tupo mtendeni zanzibar ukitaka ntakuletea hadi huko uliko, na ina warranty ndio
247bee08cd350d1e27b2ba46fb2c0ff5.jpg
 
Vioo vinauzwa wapi? Hawa mafundi wameniona mimi wa kishua sijui? Wananiambia kioo 500,000-650,000.
Na mimi tv yangu size 42 samsung wameniambia kioo laki 6 pamoja na ufundi elfu 50. Ngachoka.. January hii
 
Duh hivi tv za lg zina shida, hii yangu inaonesha half screen. niliwapelekea mafundi kariakoo (LG authorized) wakatengeneza baada ya wiki imeridia hali ile ile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom