Natafuta fundi mzuri wa tv aliyepo dar es salaam

frank jb45

Member
May 5, 2017
78
53
Kama kichwa cha habari kisomekavyo, nina tv langu lanisumbua na nimepeleka kwa fundi mmoja maeneo ya kawe kumbe fundi mwenyewe fundi uchwara! Kwa yeyote anayejua fundi gan mzuri wa tv anisaidie kunielekeza ama namba yake ya simu. Ama kama wewe n fundi unaweza kunitafuta kupitia 0716 002323, frank jb
 
Nenda maeneo ya Mtongani.Kwenye mzunguko wanapokaa askari/trafiki, kuna barabara inaingia sokoni upande wa kushoto(kama unatokea mjini). Ukitembea kama hatua 10 au 15, uliza pale.Jamaa yuko vizuri.Nilipita mitaa ile siku za karibuni,lakini sikudadisi.Kwa hiyo sina hakika kama bado yupo au la.
 
Daaa!!huyo jamaa ni noma anaitwa osama /mangushi bwana tv pale ikishindikana kaitupe!!!siku hizi yupo mtoni kwa azizi ali ndio ana ofisi pale!
 
Back
Top Bottom