Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Duh... nitaenda kesho nijaribu kuwa naulizia hizo vioo nione nitaambiwaje...Wanasema vioo vipo kariakoo, ila nimefikiria nimeona ninunue tu ingine kwanza halafu hii ndio nitaamua baadae niifanyie nini.
Experience yangu na mafundi wetu anakwambia tatizo ni A ukileta A kitu hakifanyi kazi anakwambia hapa tubadili na B.
Nilifikiri yangu ina loose connection somewhere ila mafundi wawili wamesema ni kioo hio imenishawishi ninunue ingine.
kununua mpya kwa sasa sina hata huo uwezo..
Thank you kwa advise RRONDO