jimmymziray
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 816
- 515
Mkuu id yangu kwenye checkers elite ni "MAN FROM TANZANIA" nipe yako tuwe tunachangamsha akili mara moja moja, wazungu ukiwabana wanakimbia bila kumaliza game.
Heavert
Mkuu id yangu kwenye checkers elite ni "MAN FROM TANZANIA" nipe yako tuwe tunachangamsha akili mara moja moja, wazungu ukiwabana wanakimbia bila kumaliza game.
Mkuu id yangu kwenye checkers elite ni "MAN FROM TANZANIA" nipe yako tuwe tunachangamsha akili mara moja moja, wazungu ukiwabana wanakimbia bila kumaliza game.
Waliosema download app yoyote yenye option ya Czech wapo sahihi, kuna apps nyingi za checkers zenye option ya Czech, ukitumia yoyote ile ni sawa, mimi natumia ya All-In-One Checkers, tamu kishenzi.Draft la kibongo ambalo kingi anaruka (flying king), kula lazima na ni mbele tu. Siyo la kula mbele na nyuma. Natanguliza shukrani.
Ni kweli hili draft ni la kibongo pure, ila levels zote ni rahisi, siyo beginner wala master, zote hamna kitu, jaribu hili na wewe, kwenye option ya kuset, set Czech, halafu uone mziki wake, chagua level ngumu.market://details?id=com.magmamobile.game.checkers&referrer=utm_source%3DMiniWebsite%26utm_medium%3DMiniWebsite%26utm_campaign%3DMiniWebsite
Mbona King hairukiNi kweli hili draft ni la kibongo pure, ila levels zote ni rahisi, siyo beginner wala master, zote hamna kitu, jaribu hili na wewe, kwenye option ya kuset, set Czech, halafu uone mziki wake, chagua level ngumu.
Download All-In-One Checkers App Apk- APKMonk
Hua unaongeaga utumbo sasa nimejua sababu, yaani kama unawajua hawa jamaa inaonekana uliwahi kua unasukuma sukuma kete.Mangwelele
Aman Simba
Noel
Juma Mchafu
Mkuu asante Bonge la Game na Ni Gumu maana Ma draft Mengi huwa marahisi sana hili nimelipendaInaruka, chagua option ya Czech
View attachment 508778
Ila lina changamoto moja, ukishaingia kingi, kama kuna sehemu mbili za kula, kula kwa kingi, na kula kwa kete ya kawaida, unalazimika kula kwa kingi tu, kula kwa kete huwezi.Mkuu asante Bonge la Game na Ni Gumu maana Ma draft Mengi huwa marahisi sana hili nimelipenda
Ila Nalo si Gumu sana nimeweka very hard lakini nampiga tuu!Ila lina changamoto moja, ukishaingia kingi, kama kuna sehemu mbili za kula, kula kwa kingi, na kula kwa kete ya kawaida, unalazimika kula kwa kingi tu, kula kwa kete huwezi.
Bado kuna umuhimu wa kutafuta app nyingine ambayo haina limitation hiyo.
Weka level ya professional, ukishinda sijui!!
Level yake ya juu kabisa ya 'professional' ikiona unaanza kuifunga, inaanza kufikiria kichizi, kuepusha isifikirie muda mrefu, nenda settings, halafu select 'Quick move input'Na mimi umenishawishi kulidownload. Ngoja nilicheki.
Ngoja niseti hapo maana huku siyo kufikiria ni kuwaza.Level yake ya juu kabisa ya 'professional' ikiona unaanza kuifunga, inaanza kufikiria kichizi, kuepusha isifikirie muda mrefu, nenda settings, halafu select 'Quick move input'
View attachment 509348
Hiyo app mi mwenyewe inanichosha hapo tu, anawaza usipime, asikupotezee muda, jaribu nyingine, hii haina cha kuwaza wala kufikiria, ni ngumu ki-ileile.Ngoja niseti hapo maana huku siyo kufikiria ni kuwaza.
Tafter chachers elite unacheza na wa2 wa njeIla lina changamoto moja, ukishaingia kingi, kama kuna sehemu mbili za kula, kula kwa kingi, na kula kwa kete ya kawaida, unalazimika kula kwa kingi tu, kula kwa kete huwezi.
Bado kuna umuhimu wa kutafuta app nyingine ambayo haina limitation hiyo.
Ngoja nilishushe, duuh!!, lina 54MBTafter chachers elite unacheza na wa2 wa nje
mkuu hebu share link basiNnalo lile la kirussia unacheza na mdada mkaliiii ukimfunga anavua nguo, akikufunga anavaa