Natafuta drafti kama tunalocheza Tz la android.

Natafuta drafti kama tunalocheza Tz la android.

Nne litest zur mkuu. Chagua Czeck tena kun option ya rules mbali mbali

Are you better play Checkers than me?
Checkers - Android Apps on Google Play
Nipo. Level ya grandmaster nafanya mambo.

Screenshot_20170508-215711.png
 
Haliwezi kukupa option ya kuchagua nchi ya Czech halafu likakuruhusu uchague tena rules!

Hilo la Czech linafanana fanana na la kibongo lakini lina walakini, linalazimisha jinsi ya kula. Kama kuna kete ndogo na kingi zote zina chance ya kula drafti linakulazimisha ule na kingi. Which makes a big, big, difference.
Me pia nalishangaa hapo ukiwa unacheza na system ukiitega haitaki kula ila ukitegwa ww kula lazma wapumbavu size ya mwisho wamiliki wake
 
Haliwezi kukupa option ya kuchagua nchi ya Czech halafu likakuruhusu uchague tena rules!

Hilo la Czech linafanana fanana na la kibongo lakini lina walakini, linalazimisha jinsi ya kula. Kama kuna kete ndogo na kingi zote zina chance ya kula drafti linakulazimisha ule na kingi. Which makes a big, big, difference.
Which ni best unayo sugest?
 
Hilo "Checkers" la kwenye playstore lina settings za kuchagua nchi. Huwezi kujichagulia rules zozote unazotaka, rules ziko pre-determined based on country, na hakuna nchi ambayo ina rules za kibongo.

Unless ume download app nyingine.
Hozi ni nini?
c74dca7c54c0b1644931f34318631059.jpg
 
Hilo "Checkers" la kwenye playstore lina settings za kuchagua nchi. Huwezi kujichagulia rules zozote unazotaka, rules ziko pre-determined based on country, na hakuna nchi ambayo ina rules za kibongo.

Unless ume download app nyingine.
Checkers zipo nyingi inategemea umedownload ya nani.
 
Wewe hujui draft. La mbele na nyuma ni kijifunza ushoga. Draft la wataalamu ni British. Mbele tu Nyuma mwiko
Kwa kuwa akili yako ndio imewaza hivyo siwezi kukubishia mkuu. Endelea na British mkuu.
 
Mkuu install cheker ipo playstore then ikifunguka tumia spanish chekers ipo humo humo ni kama draft laki bongo tuu
 
Hii link imeeleza vema sana. Drafti ambalo tunafanana nalo sana ni la cheki.

Well, tunafanana sana na drafti la Czechoslovakia lakini kitendo cha kingi kulazimishwa kula wakati kete ndogo ingeweza pia kula ina make a huge, huge, difference.

Drafti letu Tanzania ni drafti la Ujerumani exactly. Japo vi apps vingi havijui German Draught likoje, vinapotosha.

Sources zipo zinaeleza in full detail kuhusu drafti la Ujerumani mpaka vitabu vyao vyote vilivyoandikwa. Rules zake zote ni za Bongo.

My researched guess is that the Germans brought this version to Tanzania during colonialism. Ndio maana mpaka leo tunacheza drafti la Ujerumani.

Deutsches Damespiel
 
Hujui kucheza drought kabisa
Wewe nadhani umezoea kucheza rede na dada zako. Unakimbilia mada hujui imeanzia wapi. Hujui kwa nini nimeweka hiyo picha. Unakimbe kama cheza mdako. Haya sasa kacheze estaesta huko nje.
 
Pia naomba kuuliza mchezo wa bao pia developers wetu hawajatengeneza.
 
Wewe nadhani umezoea kucheza rede na dada zako. Unakimbilia mada hujui imeanzia wapi. Hujui kwa nini nimeweka hiyo picha. Unakimbe kama cheza mdako. Haya sasa kacheze estaesta huko nje.

Natamani ningejua id yako kwenye checkers elite tucheze online ili ujue nachezaga rede au rege, mm nimecomment game ambayo umepost picha yake kuwa hujui kucheza maana kete zimekaa hovyo, Endelea kupanic cuz hujui kucheza checkers, jaribu mdako
 
Kumuelewesha chizi utajipa kazi na kukuta unatandikia watu jamvi.
 
Download checkers online lipo playstore afu chagua "spain" naamin utalipenda mno,,, leta mrejesho uwaahabarishe na wengine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom