Lussadam
JF-Expert Member
- Oct 13, 2007
- 1,423
- 998
Na wewe umechemka ni drought siyo draftUnachanganya mambo mkuu.
Chess na draft ni tofauti kabisa.
Na wewe umechemka ni drought siyo draftUnachanganya mambo mkuu.
Chess na draft ni tofauti kabisa.
Yaaaahhh kweli hio ndo kasoro yake haikupi Uhuru wa kuchagua ktk mazingira hayo inakulazima ule kwa king kwanza...tatizo lake kama unatakiwa kuchagua kula kwa kete au king ni lazima ule na king. ila siyo ishu kubwa.
Na si hivyo tuu, kama una option ya kula ketr moja au mbili unalazimishwa kula nyingi.Yaaaahhh kweli hio ndo kasoro yake haikupi Uhuru wa kuchagua ktk mazingira hayo inakulazima ule kwa king kwanza...
Mchezaji yeyote anaekataa French(kula mbele na kurudi nyuma) akataka British ( mbele tu) huyo hajaiva kwenye draft mkuu. Jifunze hio style. Mbele kwa mbele huwa ya kujifunziaDraught la kibongo ambalo kingi anaruka (flying king), kula lazima na ni mbele tu. Siyo la kula mbele na nyuma. Natanguliza shukrani.
Kwani hilo neno linatamkwaje? Usidandie treni kwa mbele.Na wewe umechemka ni drought siyo draft
Yaaaahhh kweli hio ndo kasoro yake haikupi Uhuru wa kuchagua ktk mazingira hayo inakulazima ule kwa king kwanza...
Hahaha!!! Pole sana Mkuu inachanganya hapo ila utazoea tuView attachment 506235 hapo nimejikuta nafungwa hivi hivi
Hahahaa. Kwa la kibongo ulikuwa umeshamfunga. Unacheza grandmaster?View attachment 506235 hapo nimejikuta nafungwa hivi hivi
Ok nimeona. Mkuu upo kwenye midlevel na unapigwa?View attachment 506235 hapo nimejikuta nafungwa hivi hivi
Sasa Mkuu si hiyo kanuni yao ya King kula kwanza ndo imenikost. Hawa warahisi sana bado hawajui mitego. Nimesha unlock zoteOk nimeona. Mkuu upo kwenye midlevel na unapigwa?
Share link broooShukrani sana mkuu. Nimechagua limekubali. Ngoja nijinoe ntakutafuta nikupige🙂
Nnalo lile la kirussia unacheza na mdada mkaliiii ukimfunga anavua nguo, akikufunga anavaa

Thanx nimeipataSijajua jinsi ya kushare link kwenye simu. Ila linaonekana hivi. Kwenye play store.
View attachment 506390
Unachozungumza hukijui. Hili mimi nacheza kila siku. Linahitaji settings tu na linakuwa kma la bongo
Nne litest zur mkuu. Chagua Czeck tena kun option ya rules mbali mbaliHilo "Checkers" la kwenye playstore lina settings za kuchagua nchi. Huwezi kujichagulia rules zozote unazotaka, rules ziko pre-determined based on country, na hakuna nchi ambayo ina rules za kibongo.
Unless ume download app nyingine.
Wewe hujui draft. La mbele na nyuma ni kijifunza ushoga. Draft la wataalamu ni British. Mbele tu Nyuma mwikoMchezaji yeyote anaekataa French(kula mbele na kurudi nyuma) akataka British ( mbele tu) huyo hajaiva kwenye draft mkuu. Jifunze hio style. Mbele kwa mbele huwa ya kujifunzia
Nne litest zur mkuu. Chagua Czeck tena kun option ya rules mbali mbali
Are you better play Checkers than me?
Checkers - Android Apps on Google Play