Natafuta drafti kama tunalocheza Tz la android.

Natafuta drafti kama tunalocheza Tz la android.

Wamarekani draught wanaits checker. Ninalo moja king anaenda hatua mojamoja. Pia humo kuna la kirusi, kiingereza, kibrazil etc. Ila hakuna kama hili tunalocheza bongo. Hilo uliloliona liko kama tunalocheza bongo?
Tafuta checkers ya hispanish ndio sawa na la kibongo ambalo king anafly bila mabawa
 
Tafuta checkers ya hispanish ndio sawa na la kibongo ambalo king anafly bila mabawa
Wewe hujui Draft la Bongo. Hilo la Spain Ubao umegeuzwa na pia unalazimishwa kula kete nyingi zaidi.
 
market://details?id=com.magmamobile.game.checkers&referrer=utm_source%3DMiniWebsite%26utm_medium%3DMiniWebsite%26utm_campaign%3DMiniWebsite
 
Tafuta "Checkers" mkuu lipo safi, unafanya setting ule mbele tu au mbele na nyuma.
 
Natamani ningejua id yako kwenye checkers elite tucheze online ili ujue nachezaga rede au rege, mm nimecomment game ambayo umepost picha yake kuwa hujui kucheza maana kete zimekaa hovyo, Endelea kupanic cuz hujui kucheza checkers, jaribu mdako
Mkuu id yangu kwenye checkers elite ni "MAN FROM TANZANIA" nipe yako tuwe tunachangamsha akili mara moja moja, wazungu ukiwabana wanakimbia bila kumaliza game.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom