hapakazit
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 839
- 663
Mm ninalo ila inabid ucheze la jamhur ya chekiWamarekani draught wanaits checker. Ninalo moja king anaenda hatua mojamoja. Pia humo kuna la kirusi, kiingereza, kibrazil etc. Ila hakuna kama hili tunalocheza bongo. Hilo uliloliona liko kama tunalocheza bongo?