Natafuta couple chit chat

Natafuta couple chit chat

Haswa mpenzi wangu, nitaongea na kijana wetu ili kujua kama yupo tayari kubeba haya majukumu...maana umri ndio huo waenda...
Btw mzima weye darling wangu...
Mie mzima daddy dearest Nobel husbands prize winner, nasikitishwa tu na Arusha yetu
 
mie napenda sana baridi aise, na nina mpango wa kuhamia sehemu yenye baridi kali sana hapa Duniani mkuu! Mr Rocky ila hapo safi kwa suti sio kama sehemu zingine.
manoah baridi ikiwa kali sana nayo sio nzuri sana haswa ikifikia kama ile ya wenzetu ambapo ni below zero degree hapo hapana
Kwa suti ndio mwake kwa sasa
 
Last edited by a moderator:
ila Mr Rocky haya mazingira ya baridi omba yasiwe yanakukuta ukiwa na stress, maana uaweza hisi kama baridi limeongezeka vile, kumbe mawazo tu

manoah baridi ikiwa kali sana nayo sio nzuri sana haswa ikifikia kama ile ya wenzetu ambapo ni below zero degree hapo hapana
Kwa suti ndio mwake kwa sasa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom