Natafuta couple chit chat

Natafuta couple chit chat

Ewaaaa... hebu mwambie huyu dogo afuate protocol

Acha utoto bana, ushakuwa mtu mzima sasa!!

Asprin haki ya chit chat hapa inabidi niapply cheo kipya humu cha ukaguzi
mwenyekiti Baba V tunaomba atangaze nafasi upya za kufanya ukaguzi
Maana umeona mpaka Lady doctor nae anataka kutukagua wanaume ujue cheo hicho kilivyo kizuri
 
Last edited by a moderator:
sosoliso hahahaha kwanini jamani??unataka kuninyima nini??
 
Last edited by a moderator:
Asprin haki ya chit chat hapa inabidi niapply cheo kipya humu cha ukaguzi
mwenyekiti Baba V tunaomba atangaze nafasi upya za kufanya ukaguzi
Maana umeona mpaka Lady doctor nae anataka kutukagua wanaume ujue cheo hicho kilivyo kizuri

mbona unarudi nyuma wewe? Sema mpaka Lady doctor ame shatukagua'' sio nataka kuwakagua alaah!
 
Last edited by a moderator:
Waweza kunitambua hapo@masai gel uploadfromtaptalk1371719963379.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom